Wee jamaa kichwani kwako kumejaa busara tupu yaan...Ukombozi wa maisha yako utaanza pale utakapojua kuwa wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako.....umakini na umahiri wa kupiga makasia ndio vitakufikisha pwani salama!!!.....
Maoni ya watu na utashi wa watu wengine haviwezi kuyaongoza maisha yako vyema pasi na busara zako kwenye kufanya maamuzi na kuwajibika na matokeo ya maamuzi yako!!!....
Hatupo duniani kuwafanya watu wafurahie Matendo yako bali kwa wewe kuwa makini na matendo yako yasije kuyaangamiza maisha yako!!!....
Think big take control of your destiny
We taaira kweli...mi nikuombe radhi?Aje aombe radhi nifute comments zote
Keep your hopes up!hope atafanya hivyo [emoji38][emoji38]
Tuchukulie sijaiona hii threadAndika kama mtu Wa chumba cha jirani ninapopanga abaye huwa ananionea wivu!!!
Andika hapa Chini tusogeze siku.
Inawezekana.bora gari kuliko mjengo; hata ukikosa hela ya kodi,utalala kwenye mgari wako
oyaaa hapo ulipo una kipi kati ya nyumba ama gari...au una vyote.!!?Na consider nyumba. Usafiri upo all the time.. ila nyumba ni heshima sana. Kwanza inakupa kujiamini, unakuja muda unaotaka ..unatoka muda unaotaka na hakuna wa kukuuliza.
Yaan hata ndugu wakija kukutembelea ni heshima.
Inshort inakupa security..
Hakuna baba mwenye gari..kuna baba mwenye nyumba
Asante mpwaWee jamaa kichwani kwako kumejaa busara tupu yaan...
Kudos mkuu
AhsanteeeUkombozi wa maisha yako utaanza pale utakapojua kuwa wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako.....umakini na umahiri wa kupiga makasia ndio vitakufikisha pwani salama!!!.....