Tuchukulie nimenunua gari la Millioni 20 na sijajenga,

Tuchukulie nimenunua gari la Millioni 20 na sijajenga,

Ukombozi wa maisha yako utaanza pale utakapojua kuwa wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako.....umakini na umahiri wa kupiga makasia ndio vitakufikisha pwani salama!!!.....

Maoni ya watu na utashi wa watu wengine haviwezi kuyaongoza maisha yako vyema pasi na busara zako kwenye kufanya maamuzi na kuwajibika na matokeo ya maamuzi yako!!!....

Hatupo duniani kuwafanya watu wafurahie Matendo yako bali kwa wewe kuwa makini na matendo yako yasije kuyaangamiza maisha yako!!!....

Think big take control of your destiny
Wee jamaa kichwani kwako kumejaa busara tupu yaan...

Kudos mkuu
 
bora gari kuliko mjengo; hata ukikosa hela ya kodi,utalala kwenye mgari wako
Inawezekana.

Muhimu uwe na Van. Yenye ukubwa wakutosha kitanda kidogo, jiko, composite toilet, water tank etc.

Van Life poa sana. Vile kama wewe unapenda kusafiri na kuishi kwenye Van....unaenjoy sana.

Unaweza safiri for three months. Halafu unarudi mji wako wa awali kujipanga tena.

This idea is perfect for online entrepreneurs who love travelling.

Ni vile kufanya life iwe tofauti na kukumbukwa.

Maisha ya nenda shule, tafuta kazi, lipwa mshahara, zaa watoto, omba mkopo, jenga nyumba, anza kulipa mkopo, halafu unazeeka unakufa.

Hiyo life ni boring balaa.
 
Na consider nyumba. Usafiri upo all the time.. ila nyumba ni heshima sana. Kwanza inakupa kujiamini, unakuja muda unaotaka ..unatoka muda unaotaka na hakuna wa kukuuliza.
Yaan hata ndugu wakija kukutembelea ni heshima.

Inshort inakupa security..

Hakuna baba mwenye gari..kuna baba mwenye nyumba
oyaaa hapo ulipo una kipi kati ya nyumba ama gari...au una vyote.!!?
 
Apa ndipo utataka ndugu jamaa majirani na marafiki tukutolee povu lote utadhani tulikusaidia kuzipata.
 
Anajishaua na mkokoteni wake...hapo hana nyumba angekua na nyumba tusingepumua...na namtaka siku animwagie maji akiwa kwenye hilo kokoteni lake au hata anipigie honi atanijua mie ndio nani...anaona kayapatia maisha kisa hilo skrepa...msieeeew
 
Ukombozi wa maisha yako utaanza pale utakapojua kuwa wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako.....umakini na umahiri wa kupiga makasia ndio vitakufikisha pwani salama!!!.....

Maoni ya watu na utashi wa watu wengine haviwezi kuyaongoza maisha yako vyema pasi na busara zako kwenye kufanya maamuzi na kuwajibika na matokeo ya maamuzi yako!!!....

Hatupo duniani kuwafanya watu wafurahie Matendo yako bali kwa wewe kuwa makini na matendo yako yasije kuyaangamiza maisha yako!!!....

Think big take control of your destiny
Ahsanteee
 
Back
Top Bottom