Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

Kuwa CIA sio kosa kwa sababu yeye ni mmarekani mbona waandishi wa habari wengi wa Tanzania ni usalama hata wapinzani wengi tu ni usalama
Hakuna pahala niliposema nikosa, lakini Tucker alikataliwa kujiunga, Sasa Putin anamwambia Tucker kama alitaka kujiunga akakataliwa, Tucker anaonekana kustaajabu kama kumbe Jamaa anajua.
 
Hakuna pahala niliposema nikosa, lakini Tucker alikataliwa kujiunga, Sasa Putin anamwambia Tucker kama alitaka kujiunga akakataliwa, Tucker anaonekana kustaajabu kama kumbe Jamaa anajua.

Tacker anaomba kujiunga, wakati yeye alipaswa asubiri ili wenyewe wamtafute. Mara nyingi ukijipeleka mwenyewe unakwama.
 
Weka option ya subtitles inakua bora zaidi . Maana hizi lugha zilikuja na meli Kwa sisi tuliosoma st Kayumba inakua vizuri zaidi.
Subtitles muhimu, ziko on mwanzo mwisho.

Japo napenda zaidi mtu akitumia English mwenyewe ili niweze kuona facial expression zake kuliko kutumia muda mwingi kusoma subtitles.
 
Back
Top Bottom