Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

Tucker, mtangangazaji aliyemhoji Putin alipigwa na butwaa baada ya Putin kumpa taarifa zake za kutaka kujiunga na CIA

Waandishi wahabari wakweli kama Asenga J nao vipi?.
Hakuna serikali yoyote duniani itakuruhusu uingie kwenye mifumo yake ya computer ya kijeshi na usalama ujidukulie taarifa unavyotaka.
 
Edward Snowden kosa lake lilikuwa ni kuexpose umafia wa serikali ,jeshi na CIA kwenye ukiukaji wa haki za raia kwa kufanya surveillance kupitia mifumo ya mawasiliano , corruption na ushenzi wa military industrial complex kwenye kutengeneza na kufaidika kutokana na vita duniani
Sasa unafikiria Marekani inakamataje magaidi na maadui wa taifa lake kama vyombo vya kijasusi havifanyi surveillance??
Kuna hadi muongozo wa sheria kabisa unaitwa FISA na mahakama mahususi inaitwa FISC kuratibu surveillance.
 
Mfano Julian Assange , kosa lake lilikuwa ni kuexpose ushenzi wa jeshi la Marekani na CiA kwenye kufanya mauaji ya raia wasio na hatia kule Iraq
Kwanza waliofanya hayo mauaji ya raia huko Iraq walikuwa ni walinzi binafsi wa kampuni ya Blackwater na pia hili alikuwa kosa aliloshitakiwa nalo Assange. Assange anashitakiwa kwa udukuzi na kumuwezesha mwanajeshi wa Marekani kuiba taarifa nyingi za siri za taifa la Marekani, yakiwemo hadi mawasiliano ya kibalozi kati serikali na balozi zake mbalimbali.
 
Russian President Putin:

95% of the terrorist incidents occurring in the world are arranged by the CIA.
Putin lazima aseme hivyo kwa sababu CIA walihusika pakubwa kuvunjika kwa USSR na hilo jambo huwa linamuuma sana Putin.
 
Back
Top Bottom