maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Hujaambiwa kuwa CIA ni kosa. Putin kamchana live kwamba dogo upo kwenye payroll aone namna gani Putin alivyo na mkono mrefu kwenye system kabla ya haya nani aliyekuwa anajua?! Huyo dogo ni undercover?! Angekuhoji wewe ungekuwa unabwata tu mkuu. Unauza ramani za. Vifa..HahahahaKuwa CIA sio kosa kwa sababu yeye ni mmarekani mbona waandishi wa habari wengi wa Tanzania ni usalama hata wapinzani wengi tu ni usalama
Ukiachana na usalama wa taifa hivi kuna usalama wa Dunia??Kuwa CIA sio kosa kwa sababu yeye ni mmarekani mbona waandishi wa habari wengi wa Tanzania ni usalama hata wapinzani wengi tu ni usalama
Huyo "dogo" Tucker ni kijana wa propoganda wa Putin kwa muda mrefu sana ndani ya Marekani, hapo walikuwa wanataniana na kupiga soga tu na Putin. Waandishi wa habari halisi na wa kweli kama Evan Gershkovich wanakamatwa na kutupwa lupango na Kremlin.Hujaambiwa kuwa CIA ni kosa. Putin kamchana live kwamba dogo upo kwenye payroll aone namna gani Putin alivyo na mkono mrefu kwenye system kabla ya haya nani aliyekuwa anajua?! Huyo dogo ni undercover?! Angekuhoji wewe ungekuwa unabwata tu mkuu. Unauza ramani za. Vifa..Hahahaha
aliomba akakataliwa nlijuwa ni CIA , huez jiongeza hapo ?
Ila sio kwako, ndo maana hujawahi kulileta jukwaaniHilo lilikuwa lajulikana kuwa CIA walimkataa
Kwa nini Tucker ashangae wakati hiyo sio siri?! Tucker kukataliwa kujiunga CIA ni habari ya wazi iliyo mtandaoni kwa zaidi ya mitano sasaHakuna pahala niliposema nikosa, lakini Tucker alikataliwa kujiunga, Sasa Putin anamwambia Tucker kama alitaka kujiunga akakataliwa, Tucker anaonekana kustaajabu kama kumbe Jamaa anajua.
Ukiachana na usalama wa taifa hivi kuna usalama wa Dunia??
WatajeKuwa CIA sio kosa kwa sababu yeye ni mmarekani mbona waandishi wa habari wengi wa Tanzania ni usalama hata wapinzani wengi tu ni usalama
Wapuuzi sana hawa hizi nchi , ndio yale yale ya James Manning , Julian Assange , Edward Snowden nkUlaya wapuuzi sana wanajifanya wakali kwenye nchi masikini kuwa wanataka kuona uhutu wa habari lakini kwao ni kinyume hawataki kumuona Tucker, Ulaya.
[emoji23]
Ila mkuu kwa wenzetu ajira kwenye hizi taasisi iko wazi sana, wanaweka hadi kwenye website zao sidhani kama ilikuwa ngumu kujua ukiangalia na hali ilivyo sasa hivi kwa Russia na Putin, mpaka kupata hii interview lazima vetting ndefu sana mwandishi alifanyiwa na KGB.Hakuna pahala niliposema nikosa, lakini Tucker alikataliwa kujiunga, Sasa Putin anamwambia Tucker kama alitaka kujiunga akakataliwa, Tucker anaonekana kustaajabu kama kumbe Jamaa anajua.
Waandishi wahabari wakweli kama Asenga J nao vipi?.Huyo "dogo" Tucker ni kijana wa propoganda wa Putin kwa muda mrefu sana ndani ya Marekani, hapo walikuwa wanataniana na kupiga soga tu na Putin. Waandishi wa habari halisi na wa kweli kama Evan Gershkovich wanakamatwa na kutupwa lupango na Kremlin.
Tucker hajazuiwa popote Ulaya kufanya kazi zake, X/Twitter anakotumia kutangazia habari zake inapatikana Marekani na Ulaya bila kikwazo chochote ila X/Twitter haipatikani Urusi, imefungiwa na Putin.Ulaya wapuuzi sana wanajifanya wakali kwenye nchi masikini kuwa wanataka kuona uhutu wa habari lakini kwao ni kinyume hawataki kumuona Tucker, Ulaya.
[emoji23]