Bi mchele banaUzalendo[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2686453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi mchele banaUzalendo[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2686453
Kama mtu kama Adam Malima, Mkuu wa mkoa tu ameweza kupata sample ya investment agreement (IGA) kati ya UK na UAE, kwa nini ofisi ya Mwanasheria Mkuu wetu wa serikali hakuweza kupata hata moja kutoka nchi ambazo huyu DP World alikowekeza? Yaani walishindwa kuipata hata ya kule kwa rafiki yetu wa Rwanda, Mh. Kagame? Au wanazo ila wametuficha ili tusiweze kulinganisha na hii ya kwetu. Inasikitisha sana. Jee kuna wengine ambao wanaweza kuzipata watuletee hapa? Mtandao wa watu kama Dr Slaa wajaribu kuzitafuta. Hii inaweza saidia kumaliza sakata hili kiustarabu by research.Mheshimiwa Mkuu wa Morogoro Adam Malima ametuasa kwa upendo mkubwa sana kuwa katika suala la mikataba hawa waarabu ( jamaa ) sio wajomba zetu, binafsi nimesoma IGA ya ushirikiano katika uwekezaji kati ya UK na UAE, nimegundua waarabu wako serious wanapokutana na nchi zilizo serious na wanaheshima sana, na wana ujinga mwingi wakikutana na nchi zilizo na ujinga mwingi, ambazo haziko serious na rasilimali zao.
ukisoma IGA yao, japo ya zamani kila kitu kipo sawa na very simple. angalia capacity, ( nchi ndio zimeingia mkataba), tofauti ya JMT na Dubai (ukiuliza utaambiwa katiba yao inaruhusu kuingia mikataba ya kimataifa), time ya IGA kati UK na UAE ni miaka kumi ya kwetu (ya milele)au utaisha project zao zitakapoisha, viongozi waliosaiini upande JMT ni wakuu wa nchi, DUBAI ni Director wa bandari za dpw.
leo fikiria tangu mwaka 1992 miaka 30 baadae tunaingia mkataba wa kulitia taifa aibu kwenye rasilimali zetu wenyewe kwa kasi ya 5G.
nimeambatanisha nakala ya IGA hapo chini kwa rejea
MoU zitakuwa zinahusu specific project most likely.Sorry, uko vizuri, nilitaka maoni yako.
yaani imagine kagame kaingia IGA na United Arab Emirates, state vs state, on 2017, lakini sisi eti tumeingia na Dubai? yaani maskini Tanzania yangu, ukiwauliza ni makubaliano sio mkataba mikataba itakuja baadae,Kama mtu kama Adam Malima, Mkuu wa mkoa tu ameweza kupata sample ya investment agreement (IGA) kati ya UK na UAE, kwa nini ofisi ya Mwanasheria Mkuu wetu wa serikali hakuweza kupata hata moja kutoka nchi ambazo huyu DP World alikowekeza? Yaani walishindwa kuipata hata ya kule kwa rafiki yetu wa Rwanda, Mh. Kagame? Au wanazo ila wametuficha ili tusiweze kulinganisha na hii ya kwetu. Inasikitisha sana. Jee kuna wengine ambao wanaweza kuzipata watuletee hapa? Mtandao wa watu kama Dr Slaa wajaribu kuzitafuta. Hii inaweza saidia kumaliza sakata hili kiustarabu by research.
Hizi IGA haziwezi kutufunga? Kwenye HGA mikataba ya mbele huko.MoU zitakuwa zinahusu specific project most likely.
IGA ni makubaliano ya kuanza majadiliano ya kurasimisha hiyo mikataba.
Hayo ni mawazo yangu kwa sababu serikali aijaelezea hizo MoU. Ata IGA inaweza kuwa na MoU yake but it means nothing kama isingefikia hatua ilipo leo.
dah hapa ndio sikuelewi kabisa mkuu,MoU zitakuwa zinahusu specific project most likely.
IGA ni makubaliano ya kuanza majadiliano ya kurasimisha hiyo mikataba.
Hayo ni mawazo yangu kwa sababu serikali aijaelezea hizo MoU. Ata IGA inaweza kuwa na MoU yake but it means nothing kama isingefikia hatua ilipo leo.
Serikali ya madili kila saa inafikiria kupiga deali huo muda wa kujishughulisha utakuwa haupo jamaniKama mtu kama Adam Malima, Mkuu wa mkoa tu ameweza kupata sample ya investment agreement (IGA) kati ya UK na UAE, kwa nini ofisi ya Mwanasheria Mkuu wetu wa serikali hakuweza kupata hata moja kutoka nchi ambazo huyu DP World alikowekeza? Yaani walishindwa kuipata hata ya kule kwa rafiki yetu wa Rwanda, Mh. Kagame? Au wanazo ila wametuficha ili tusiweze kulinganisha na hii ya kwetu. Inasikitisha sana. Jee kuna wengine ambao wanaweza kuzipata watuletee hapa? Mtandao wa watu kama Dr Slaa wajaribu kuzitafuta. Hii inaweza saidia kumaliza sakata hili kiustarabu by research.
Hapo ndio shida ilipo mnaanza na vitabu vikubwa ndio maana vinawachanganya unless your are a lawyer.mkuu naona nitarudia maneno yaleyale niliyoyatamka hapo juu, shida tunatofautiana kwenye understanding ya specific discipline on investment law,:
na tatizo kubwa ya investment laws is an archaic law but very recently discovered, kwa mfano bilateral investment ya kwanza ni kati ya German na pakistan, ya mwaka 1959. ni shida sana kwa nchi zetu na ndio maana tunapigwa sana kwenye mahakama za kimataifa, na hata kuingia mikataba hii, kwa mfano IGA na BIlateral ni shida kuelewa, hata bunge limehangaika, tunaambia makubaliano wengine mkataba, wengine mkataba, wengine ni makubalino, yaani ni shida sana.
mkataba wetu ni kichekesho mkuu, ni aibu sana kusema umeingiwa na wanasheria. am sure an investment lawyer can not enter into such agreement mkuu.
kwa faida ya rejea zako naomba tafuta vitabu hivi, these are legal puritan in investment laws, soma taratibu, chukua muda wako taratibu, ni self teaching books; they will teach step by step and all practical aspect za investment laws. utaona vizuri tofauti ya commercial law na investment laws, utagundua kama taifa tumekwama wapi, vinauzwa online you can buy mkuu,
1. Thomas machi (2021), vademecum of international investmet, University of West bohemia,
2. Cristina Elena Popa Tache (2020), Introduction to international investment law
3. Qiang Pen (2018), Public interest in international investment law: Balancing protection for investor and enrironment
ciao
Mkuu hata wewe elimu yako umepitia vitabu. Wote tumepita huko.Hapo ndio shida ilipo mnaanza na vitabu vikubwa vinawachanganya unless your are a lawyer.
Otherwise to appreciate advanced books even more my rule is to grasp the elementary books vinavyoelezea basic fundamental principles of the subject.
This is why you’re forcing same issues to be different, yet chronologically they are deducted similarly when assessing their merit.
Vitabu nilikuwa nanunua kutoka kwa NJAAKALI sijui mods wamempa life ban simuoni siku hizi alinipa ID yake nyingine; sema anashinda sana kule kwenye Simba na Yanga nishasahsu
Alamsiki
Hakuna mahala nimesema MoU is enforceable (be it not always the case).dah hapa ndio sikuelewi kabisa mkuu,
MoU (memorandum of understanding) has no legal effects, and its not binding, and not enforceable before the eyes of law, yaani makubaliano ya kukubaliana. na sio mkataba:
naomba nikuulize swali:
unataka kusema IGA tuliyoingia kati ya JMT na Dubai is not binding? is it a MoU? dah be serious pls, unataka kusema haina legal effects in case of breach?
Acha porojo. Jaribu kuelewa kwanza kabla hujafungulia bomba la majitaka kuchafua hali ya hewa.Hakuna tofauti yoyote na ya Tanzania.
Hiyo BIT ni general investments, whereas IGA is specific; lakini articles ni zile zile kwenye utekelezaji.
BIT ina miaka 10 but then mikataba itakayoingiwa ndani ya muda husika sheria hiyo hiyo itatumika kwa miaka 20 tangu kuisha kwake.
Mikataba itakayoendelea baada ya miaka 20 international laws itatumika.
Ni hivi:
Kusipokuwa na ratification ya treaties cha msingi ni sehemu ya usuluhishi. Lakini kwenye terms na clauses ata bila ya treaties utakuta mambo yale yale ambayo yapo kwenye treaties kama unatumia wanasheria makini.
Ata bila ya treaties mikataba inaisha kwa namna tatu:
(i) Shughuli za mkataba zinapoisha (performance).
(ii) a frustrating event
(iii) a breach of condition (if the victim chooses to do so).
Mambo hayo hayo yapo kwenye IGA ukisoma yameandikwa kivingine tu specifically kwa mradi husika.
Hiyo IGA aina shida yoyote, tatizo ni uwezo wa wanasheria wa Tanzania tu. If anything huu mjadala wa IGA una expose our limitations kwenye maswala ya mikataba ya kibiashara.
So do IMkuu hata wewe elimu yako umepitia vitabu. Wote tumepita huko.
Muhimu tunaangalia maslahi ya taifa miaka 50 ijao.
mmh, fanya rejea vizuri issue ya symbion na tz ni breach ya BIT ya TZ and UK, 1994.Hakuna mahala nimesema MoU is enforceable (be it not always the case).
Sometimes it can be used to claim for damages; if it caused someone to act based on MoU. Mfano rahisi ni MoU ndio iliyotumiwa na Symbion kuifungulia kesi Tanzania Waliyolipwa tsh 300 billion last year.
Sijasema IGA ni MoU nilichosema inawezekana ilianza kama MoU.
Haven’t I reinstated enough in this thread IGA is a law at this stage, how can it a MoU at the same time.
Kwanini nguvu kubwa itumike kuipitisha bungeni. Kutishia maisha ya Wazalendo Dr Slaa, Dr Mwakabusi, Dr Nshalla.So do I
Hiyo IGA sio final investment decision na aina shida.
Concern zinatakiwa kuwa huko mbele kwenye project/concession agreement.
unadhani waarabu wajinga kama sisi, wameanza generation za income kwa muda mrefu, they trade in investment for political and financial implication, na mikataba yao haipo kwa bahati mbaya, na hata hiyo draft sio ya Tz, angalia simiral draft in African countries, they for their countries, sisi tunakimbia kusaini.So do I
Hiyo IGA sio final investment decision na aina shida.
Concern zinatakiwa kuwa huko mbele kwenye project/concession agreement.
nadhani kwa hiiya Dubai atakuwa kapima tayari, mbarawa kapima nae, ila wengi wamepima, kwa urefu wa kamba zaoUzalendo👇😁😁😁
View attachment 2686453
What are the 5 elements of a contract?Ile ni Bilateral Agreement
Dini imewaharibu sn wanaona waliotofauti na wao ni watu bakiUkimpa nchi Mzazinbari kùuza Tanganyika anaona ni sawa tu. Kwa miaka 500 walikuwa wanatuuza Watanganyika.
Zanzibar ni muhimu kama soko la watumwa kwa miaka 500. Ndio umaarufu wa Zanzibar kuuza ndugu zao. Kisa dini. Kutawaliwa,kiakili.