Tucopy na kupaste sample ya IGA ya UK (Muingereza) na UAE (Mwarabu) katika uwekezaji, japo ni ya mwaka 1992, lakini inafundisha uzalendo kwa nchi zao

Kama mtu kama Adam Malima, Mkuu wa mkoa tu ameweza kupata sample ya investment agreement (IGA) kati ya UK na UAE, kwa nini ofisi ya Mwanasheria Mkuu wetu wa serikali hakuweza kupata hata moja kutoka nchi ambazo huyu DP World alikowekeza? Yaani walishindwa kuipata hata ya kule kwa rafiki yetu wa Rwanda, Mh. Kagame? Au wanazo ila wametuficha ili tusiweze kulinganisha na hii ya kwetu. Inasikitisha sana. Jee kuna wengine ambao wanaweza kuzipata watuletee hapa? Mtandao wa watu kama Dr Slaa wajaribu kuzitafuta. Hii inaweza saidia kumaliza sakata hili kiustarabu by research.
 
Sorry, uko vizuri, nilitaka maoni yako.
MoU zitakuwa zinahusu specific project most likely.

IGA ni makubaliano ya kuanza majadiliano ya kurasimisha hiyo mikataba.

Hayo ni mawazo yangu kwa sababu serikali aijaelezea hizo MoU. Ata IGA inaweza kuwa na MoU yake but it means nothing kama isingefikia hatua ilipo leo.
 
yaani imagine kagame kaingia IGA na United Arab Emirates, state vs state, on 2017, lakini sisi eti tumeingia na Dubai? yaani maskini Tanzania yangu, ukiwauliza ni makubaliano sio mkataba mikataba itakuja baadae,

halafu waheshimiwa wametawanywa kwenda majimboni kuelimisha watanzania, dah kazi kweli
 
Hizi IGA haziwezi kutufunga? Kwenye HGA mikataba ya mbele huko.

Ndio wasiwasi wa Wananchi.
 
dah hapa ndio sikuelewi kabisa mkuu,

MoU (memorandum of understanding) has no legal effects, and its not binding, and not enforceable before the eyes of law, yaani makubaliano ya kukubaliana. na sio mkataba:

naomba nikuulize swali:

unataka kusema IGA tuliyoingia kati ya JMT na Dubai is not binding? is it a MoU? dah be serious pls, unataka kusema haina legal effects in case of breach?
 
Serikali ya madili kila saa inafikiria kupiga deali huo muda wa kujishughulisha utakuwa haupo jamani
 
Hapo ndio shida ilipo mnaanza na vitabu vikubwa ndio maana vinawachanganya unless your are a lawyer.

Otherwise to appreciate advanced books even more, my rule is to grasp the elementary books first vinavyoelezea basic fundamental principles of the subject. They widen my reasonability when going into advanced books.

This is why you’re forcing same issues to be different, yet chronologically they are deducted similarly when assessing their merit.

Vitabu nilikuwa nanunua kutoka kwa NJAAKALI sijui mods wamempa life ban simuoni siku hizi alinipa ID yake nyingine; sema anashinda sana kule kwenye Simba na Yanga nishasahsu

Alamsiki
 
Mkuu hata wewe elimu yako umepitia vitabu. Wote tumepita huko.

Muhimu tunaangalia maslahi ya taifa miaka 50 ijao.
 
Hakuna mahala nimesema MoU is enforceable (be it not always the case).

Sometimes it can be used to claim for damages; if it caused someone to act based on MoU. Mfano rahisi ni MoU ndio iliyotumiwa na Symbion kuifungulia kesi Tanzania Waliyolipwa tsh 300 billion last year.

Sijasema IGA ni MoU nilichosema inawezekana ilianza kama MoU.

Haven’t I reinstated enough in this thread IGA is a law at this stage, how can it a MoU at the same time.
 
Acha porojo. Jaribu kuelewa kwanza kabla hujafungulia bomba la majitaka kuchafua hali ya hewa.
 
Mkuu hata wewe elimu yako umepitia vitabu. Wote tumepita huko.

Muhimu tunaangalia maslahi ya taifa miaka 50 ijao.
So do I

Hiyo IGA sio final investment decision na aina shida.

Concern zinatakiwa kuwa huko mbele kwenye project/concession agreement.
 
mmh, fanya rejea vizuri issue ya symbion na tz ni breach ya BIT ya TZ and UK, 1994.
 
So do I

Hiyo IGA sio final investment decision na aina shida.

Concern zinatakiwa kuwa huko mbele kwenye project/concession agreement.
Kwanini nguvu kubwa itumike kuipitisha bungeni. Kutishia maisha ya Wazalendo Dr Slaa, Dr Mwakabusi, Dr Nshalla.
 
So do I

Hiyo IGA sio final investment decision na aina shida.

Concern zinatakiwa kuwa huko mbele kwenye project/concession agreement.
unadhani waarabu wajinga kama sisi, wameanza generation za income kwa muda mrefu, they trade in investment for political and financial implication, na mikataba yao haipo kwa bahati mbaya, na hata hiyo draft sio ya Tz, angalia simiral draft in African countries, they for their countries, sisi tunakimbia kusaini.

wewe wazarau muone. kuwa IGA haina kitu
 
Ukimpa nchi Mzazinbari kùuza Tanganyika anaona ni sawa tu. Kwa miaka 500 walikuwa wanatuuza Watanganyika.

Zanzibar ni muhimu kama soko la watumwa kwa miaka 500. Ndio umaarufu wa Zanzibar kuuza ndugu zao. Kisa dini. Kutawaliwa,kiakili.
 
Ile ni Bilateral Agreement
What are the 5 elements of a contract?


A contract is a legal agreement between two or more parties in which they agree to each other's rights and responsibilities. Offer, acceptance, awareness, consideration, and capacity are the five elements of an enforceable contract
 
Ukimpa nchi Mzazinbari kùuza Tanganyika anaona ni sawa tu. Kwa miaka 500 walikuwa wanatuuza Watanganyika.

Zanzibar ni muhimu kama soko la watumwa kwa miaka 500. Ndio umaarufu wa Zanzibar kuuza ndugu zao. Kisa dini. Kutawaliwa,kiakili.
Dini imewaharibu sn wanaona waliotofauti na wao ni watu baki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…