tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Nyumbu mtapasuka msamba mwaka huu bila ya kymuiga tembo maana Kila uchao mama anawakeraaaa tu...... dadadadekiTuzo utoka kwa wezi,mafisadi,majizi ili kumfumba macho na ni baada ya kumjua kua anapenda kusifiwa pasipo na cha maana chake alicho fanya kwa watanganyika. Masiki uwezo wao ni Dua,maombi na kuku Kama TUZO kwa watawala ila yy maisha hawezi kukubali ilo.
Kazi ni kipimo cha utu
Mama anastahili
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).
Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.
View attachment 3439251
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.
Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025
Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.
Chanzo: Mwananchi official
Kwamba Watumishi wa Umma wako hivyo ulivyoondika?Tuzo utoka kwa wezi,mafisadi,majizi ili kumfumba macho na ni baada ya kumjua kua anapenda kusifiwa pasipo na cha maana chake alicho fanya kwa watanganyika. Masiki uwezo wao ni Dua,maombi na kuku Kama TUZO kwa watawala ila yy maisha hawezi kukubali ilo.
Kazi ni kipimo cha utu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).
Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.
View attachment 3439251
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.
Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025
Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.
Chanzo: Mwananchi official
Rais kafanya kazi nzuri kwa wafanyakazi lakini tukta wanafanya wrong timing ya kumtunuku Rais
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, Agosti 12, 2025 Ikulu Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta).
Viongozi hao wamempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa utekelezaji wa ahadi yake ya nyongeza ya mishahara, kupandisha madaraja ya watumishi wa umma na kuboresha mazingira ya kazi nchini.
View attachment 3439251
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), wakiongozwa na Rais wa Shirikisho hilo, Bw. Tumaini Nyamhokya, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Agosti, 2025.
Soma pia: Rais Samia atunukiwa Tuzo Maalum kutoka kwa bunge, Dodoma Mei 31, 2025
Viongozi hao akiwemo Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokya wamemkabidhi Rais Samia tuzo maalumu ya shukurani kwa kutambua mchango wake katika kuboresha masilahi ya wafanyakazi nchini.
Chanzo: Mwananchi official
Nimecheka kama Mazuri eti yule mpuuzi 😆😆Anastahili.
Imagine within 4 yrs of her regime tumepanda vyeo mara mbili, mishahara imepanda mara 2. Yaani 2+2 = 4 .
Ndani ya miaka 4 mishahara imepanda mara 4 .
Yule mpuuzi aoze salama.
Niliwaambia atakufa soon mkabisha kwakuwa ni mungu wenu. Macho yenu ya rohoni yana giza, mtu mwovu kama Jiwe mnamwona bonge la mtu eti.
Mpaka 2030 mtumishi wa umma ambaye hatakuwa na makazi bora huyo either karogwa na wanafamilia kwasababu ya wivu au tahira plus ulevi mbwa
Mnatapatapa uzuri na wewe utalipa upende usipende.