"Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia
Maelekezo gani?
My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji. Kweli ndicho anachowapongeza, kuteka, kuua watu, kupoteza watu?
Kauli hii ya Rais na Ukimya wa serikali kuhusu sativa unanipeleka kuamini vinginevyo