R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jul 14, 2024 #1 "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji. Kweli ndicho anachowapongeza, kuteka, kuua watu, kupoteza watu? Kauli hii ya Rais na Ukimya wa serikali kuhusu sativa unanipeleka kuamini vinginevyo Your browser is not able to display this video.
"Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji. Kweli ndicho anachowapongeza, kuteka, kuua watu, kupoteza watu? Kauli hii ya Rais na Ukimya wa serikali kuhusu sativa unanipeleka kuamini vinginevyo Your browser is not able to display this video.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Jul 14, 2024 Thread starter #2 johnthebaptist wasemaje?