PREP na PEP sio dawa ni maneno wanayotumia kukupa dawa kulingana na hali yako, kama umeshafanya zinaa ama ndio unaenda kuzini. Hizi kimsingi ni ARVs na ufanyaji wake wa kazi uko hivi;
Virusi wanapoingia mwilini wanatumia saa 72 kuweza kuweka kambi na kuanza kushambulia, kabla ya kuweka kambi hawawezi kushambulia wala kujilinda hivyo unavyokunywa PEP baada ya kuzini una wa ambush hivyo wanakosa nguvu ya kuendelea na safari, waki freeze mwili unawaweka katika kundi la takamwili na kuwa dump pale unapofanya secretion zake.
PREP hii unakunywa kabla ya kuzini na ufanyaji wake wa kazi ni kuua wadudu pindi waingiapo tu, tofauti na PEP ambayo inaua wadudu ambao washaingia so ukikosea dozi kidogo tu chuma unacho. PREP ina guarantee kubwa kwani mwili unakuwa umejiwekea kinga.
Kama umewahi sikia mtu kazini na mgonjwa kwa miaka 3 au zaidi na wakipima hana maambukizi ni kwa sababu mgonjwa anazingatia dawa hivyo virusi vyake vinakuwa havijiwezi sana.
NAKUMBUSHA: PREP na PEP sio dawa ni terminology zinazotumika kutoa dawa ambazo kimsingi ni ARVs. ukitumia PEP zaidi ya mara 3 halafu ukaja ukanada virusi uwezekano wa kutumia ARVs kurefusha maisha unakuwa kidogo sana kwani hazitakusaidia kwa sababu tayari virusi vishakuwa na uzoefu nazo na jinsi ya kuziepuka. Mgonjwa anaeacha dozi akirudi hapewi dawa alizoacha wanambadilishia kwa maana virusi wanaposhambuliwa sana na kuzoofu pindi utapoacha dawa wanabadili muundo wao ukinywa tena ile dawa haiwafanyi kitu.
Maelezo ni mengi ila natumai itasaidia kama una swali uliza kwenye WhatsAspp yangu.