Tueleweshane kuhusu PREP na PEP

Hiyo kweli kupata majibu humu ni shida sana sante nitakwenda huko
 
Usalama na amani upo kwenye Uislam pekee.

Leo huko USA wale tuliokuwa tunawaona wa maana wanaanikwa siri zao.

Ushetani mtupu.
 
ARV antiretroviral yani vifubaza virusi
HIV virus ni kirusi hivyo matibabu yake yanajumuisha utoaji wa ARV bila kujali wakati
PEP post exposure prophylaxis unapewa dose sehem ya tiba baada ya kua/ au kuhisi umekua exposed na kirusi
PrEP hii ni before exposure
 
Mwaafrika anazaa kama panya. Mliukataa mpango wa uzazi kwa majira mlioletewa na wazungu mkaamuliwa mpunguzwe tu kwa vyovyote vile.

Lazima mfe kwa haraka mkipenda msipende. Ushahidi:
Wewe sio Mwafrika?? Wewe huyu huyu
 
Usalama na amani upo kwenye Uislam pekee.

Leo huko USA wale tuliokuwa tunawaona wa maana wanaanikwa siri zao.

Ushetani mtupu.
Unazungumzia Uislam au USA? Mbona unalinginisha vitu tofauti? US hakuna waislam??
 
Ukipomba PEP wanakupa ARVS je unaufahamu wowote kama ni sahihi kupewa hizo dawa na kama PEP ndio ARV hizo hizo?
PREP na PEP sio dawa ni maneno wanayotumia kukupa dawa kulingana na hali yako, kama umeshafanya zinaa ama ndio unaenda kuzini. Hizi kimsingi ni ARVs na ufanyaji wake wa kazi uko hivi;
Virusi wanapoingia mwilini wanatumia saa 72 kuweza kuweka kambi na kuanza kushambulia, kabla ya kuweka kambi hawawezi kushambulia wala kujilinda hivyo unavyokunywa PEP baada ya kuzini una wa ambush hivyo wanakosa nguvu ya kuendelea na safari, waki freeze mwili unawaweka katika kundi la takamwili na kuwa dump pale unapofanya secretion zake.

PREP hii unakunywa kabla ya kuzini na ufanyaji wake wa kazi ni kuua wadudu pindi waingiapo tu, tofauti na PEP ambayo inaua wadudu ambao washaingia so ukikosea dozi kidogo tu chuma unacho. PREP ina guarantee kubwa kwani mwili unakuwa umejiwekea kinga.
Kama umewahi sikia mtu kazini na mgonjwa kwa miaka 3 au zaidi na wakipima hana maambukizi ni kwa sababu mgonjwa anazingatia dawa hivyo virusi vyake vinakuwa havijiwezi sana.

NAKUMBUSHA: PREP na PEP sio dawa ni terminology zinazotumika kutoa dawa ambazo kimsingi ni ARVs. ukitumia PEP zaidi ya mara 3 halafu ukaja ukanada virusi uwezekano wa kutumia ARVs kurefusha maisha unakuwa kidogo sana kwani hazitakusaidia kwa sababu tayari virusi vishakuwa na uzoefu nazo na jinsi ya kuziepuka. Mgonjwa anaeacha dozi akirudi hapewi dawa alizoacha wanambadilishia kwa maana virusi wanaposhambuliwa sana na kuzoofu pindi utapoacha dawa wanabadili muundo wao ukinywa tena ile dawa haiwafanyi kitu.
Maelezo ni mengi ila natumai itasaidia kama una swali uliza kwenye WhatsAspp yangu.
 
Unaweza ukathibitisha vipi kwamba umepewa ARV's na sio PEP..??
Lakini pia kwa ufahamu wangu, PEP inamuonekano unao shabihiana sana na ARV's.
Pamoja na hayo, naamini watoa huduma hizi wanakua watu wa kusimamia maadili sana kwasababu hizo PEP pia hawana pa kuzipeleka maana haziruhusiwi kuuzwa
 
hakuna cha kuogopa watu wengi na wajua wana HIV na wako vizuri tuu , ila ni suala la kujikinga tuu sababu dharula imetokea .
Nikweli mkuu, usiogope maana wapambanaji skuzote tunasema ajali kazini..😊
 
Asante sana , Kma umetumai PEP zaidi ya maratatu na mara zote uitumia tuu na hizo dharula hakuna aliye na vizuri je ukakutana na mtu mwenye virusi je kuna uwezekano PEP isifanye kazi sababu ume sha tumia sana ?
 
Asante sana , Kma umetumai PEP zaidi ya maratatu na mara zote uitumia tuu na hizo dharula hakuna aliye na vizuri je ukakutana na mtu mwenye virusi je kuna uwezekano PEP isifanye kazi sababu ume sha tumia sana ?
Mbona unaandika huku unatetemeka mkuu....!!😧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…