Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo inbox kwa uaminifu kabisa utahamaNaomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.
Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.
View attachment 2961611
Aisee nataman kufanya hii move kaka kwenda shirika fulani ila nmeulizia HR wao anasema nafasi zimejaa naweza kuanzia utumishi juu kwa juu shida nako sina Godfather unanishaurije?Mimi status inasoma ALLOWED sijui kinachofuata hapo maana kabla ya hapo ilisoma ACOUNTING OFFICER
Hapo ushatoboa kakaMimi status inasoma ALLOWED sijui kinachofuata hapo maana kabla ya hapo ilisoma ACOUNTING OFFICER
Vipi kama mnabadilishana vituo vya kaziHapo ushatoboa kaka
Kwanini unahama hapo Maswoersue
Persue new challengesKwanini unahama hapo Maswa?
DuhNjoo inbox na kibunda utahama,
Tahadhari kma huna ela ucje inbox plz