Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.

Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.

View attachment 2961611
Njoo inbox kwa uaminifu kabisa utahama
 
Mimi status inasoma ALLOWED sijui kinachofuata hapo maana kabla ya hapo ilisoma ACOUNTING OFFICER
Aisee nataman kufanya hii move kaka kwenda shirika fulani ila nmeulizia HR wao anasema nafasi zimejaa naweza kuanzia utumishi juu kwa juu shida nako sina Godfather unanishaurije?
 
Andika barua ya uhamisho panda nayo mtumba Tamisemi huko mbona wanapokea!
Mfumo unazingua mno
 
Back
Top Bottom