Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Mnaremba sana ..sijui romance sijui..ooh...darling..nini...ndio maana watoto wengi wa kike wanazaliwa siku hizi .dume linajiachia kisa limeitwa beb i!...
Sio jazba...mkuu...hii kitu ina matao..lazima zilale.. mtu gesi tupu...
tumbo linanguruma...


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Bado sijaelewa hebu nyoosha vizuri nipate kujifunza, unaongea kwa mafumbo sana
 
Daaaah, wanaume tuko na msiba katika nafai zetu, pesa tutafute sie, kuoa tunaoa sie, kula tunapeleka sie majumbani mwetu. Wake zetu wanalalamika hatuwaridhishi hadi tumekuwa na wahka na wasiwasi wakati wa starehe chumbani.

Poleni sana wanaume wenzangu mnaosumbuliwa na hili tatizo. Binafsi sijawahi kusumbuliwa kwa kiwango kikubwa kiasi kuniletea wasiwasi, hutoke baadhi ya nyakati goli la mwanzo kikawa fupi kiasi ya kupata chini ya dakika kumi na tano, ila nikiendelea huwa nafurahia shughuli mnoo na mwenzangu.

Kitu muhimu waungwana ni kujichunguza ama kujitafiti tabia, hustoria na mwenendo wa miili yetu kibaiolojia, halafu tukijielewa tutapata solution ya shida hii ya kuwahi kufika mapema kabla ya mwenza wako hajafika.

Nashauri wenye tatizo hili wafanye mazoezi, hususan ya kukimbia yaani jogging, ile mdogo mdogo hadi jasho likutoke kwelikweli, kichura kidogo, ruka kamba, pushup kidogo angalau uchukue dakika 45 hafi 60 japo sio kila siku walau siku 2 au tatu kwa wiki. Mimi hupata siku mbili au tatu ndani ya siku saba, ila nikienda tizi najipinda hadi najionea huruma jasho linavyotoka kama mvuke mwilini.

Mazoezi hunisaidia kupata stamina ya ajabu wakati wa mambo yetu, najikuta naweza kudhibiti wazungu wasitoke bila ya taarifa vile ntakavyo, muda mwengine hupelekwa spidi na mwenzangu nikiwaona hao wanakaribia nawazuia na kubadilisha mbinu mara moja, basi tutapelekana hadi ashindwe yeye anadai nishuke maana huwa tena karaha kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na mm kwa sababu ya uungwana naweka issue zangu sawa [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].

Kwaiyo tusipuuze mazoezi wanaume wenzangu, na tule vyakula vilivyo vizuru kwa afya sio chipsi zege na juisi kila wakati hawa wanawake wanapata shida tukiwaacha na genye zao.

Baada ya mazoezi maji safi na salama kwa wingi ikiwezekana maji ya vuguvugu ni mazuri zaidi.
 
[emoji23][emoji23] untaka vumbi la kongo hili apa.. Amka asubui kimbia km 5 au zaidi kutokana na uwezo wako.. Alafu baada ya muda omba game na shem [emoji3][emoji3] uone maajabu! Dushe inakua imara zaid ya Sana.. Mazoez ni zaid ya vumbi
 
Mimi mzunguuko mmoja sifikishi hata dakika 3 na nipo vizuri sina kitambi wala chochote, nimefuata taratibu zote mazoezi vyakula na mambo kibao yan tips karibia zote..

Ila dahh show mbovu kila kukicha karibu mke anadai talaka yan sielewi kwakwel
Una umri gani ndugu?
 
Mnajiharibu nyie

Mimi nasema hakuna mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume

Kila vizuri ,pumzika vya kutosha,kunywa maji mengi ,jiamini na piga gemu za Mara kwa Mara

NB: Bao la kwanza huwa Ni haraka kwa wanaume wote

Tunaanza kuhesabu kuanzia bao la pili utakaa muda
 
Mrejesho :
Katika tafiti zangu nilizofanya nimegundua mambo kadhaa japo wengi wamejaribu kushauri kuhusu psychology,ila kwangu ishu ya psychology ni hapana...
Wewe tatizo lako saikolojia sema mbishi sana endelea kupaka hayo mauchafu

Halafu usikute unakula ovyo ovyo
 
Mkuu kumbe hali yako ni afadhali sana ukiliniganisha na yangu,

Mimi akiushikashika tu uume sekunde 15 - 20 mambo tayari, akianza kunyonya au kuingiza papuchi ni mwendo sekunde 5 - 10.
Zamani nilikuwa Kama wewe tu sababu nilikuwa mdau wa puli[emoji1]

Niliacha hizo Mambo Kama mwaka hivi

Nikaanza piga tizi jogging

Natumia sana tangawizi na chakula changu kikuu Ni ugali dagaa,samaki au nyama

Siku ambayo nilifuzu hii tasnia ya kugegeda Ni siku ambayo nikipata gemu toka kwa jidada fulani hivi limenizidi 5years

Nilikuwa Nina hofu nitaibika Ila nilisimamisa show vizuri Hadi nilijishangaa mwenyewe [emoji1787] since then nateleza tu

Jiamini kijana huna tatizo lolote wewe
 
Zamani nilikuwa Kama wewe tu sababu nilikuwa mdau wa puli[emoji1]

Niliacha hizo Mambo Kama mwaka hivi

Nikaanza piga tizi jogging

Natumia sana tangawizi na chakula changu kikuu Ni ugali dagaa,samaki au nyama

Siku ambayo nilifuzu hii tasnia ya kugegeda Ni siku ambayo nikipata gemu toka kwa jidada fulani hivi limenizidi 5years

Nilikuwa Nina hofu nitaibika Ila nilisimamisa show vizuri Hadi nilijishangaa mwenyewe [emoji1787] since then nateleza tu

Jiamini kijana huna tatizo lolote wewe
Tatizo lipo mkuu, kukojoa ndani ya sekunde 10-15 sio masihara kabisa
 
Kuna jamaa alisema kama mwanamke hafiki kileleni ni tatizo lake [emoji23]
 
Yawezekana ulikosea kwenye maelekezi, Mimi siku ya kwanzo ilikua ni hivo hivo baada ya kupaka kuingia mzigoni ndani ya sekunde kadhaa mambo chali. Ila mara ya pili na ya tatu nikawa makini kwenye maelekezi, Tatizo linakuja kuwa haisimami, inaanza kusimama nikiingia mchezoni sekunde kadhaa au dakika inalala.

Shida kubwa ya vumbi ipo hapo mashine inasimama ila ukitaka kuingiza au ukikaa kidogo bila kuingiza inalala na kusimama tena ni shida hiyo kitu sio poa kabisa.

Na hii inatokea kama ulishawai kupiga nyeto alafu ukatumia vumbi ndio unajiharibu kabisa yani itatakiwa uwe na timing sana kwenye kufanya huko mbeleni
 
Anayejua upatikanaji wa Kizizi anijuze tafadhali, Kuna demu anaringa sana mtaani hapa na vimacho vitatu vyake nataka nimsomeshe Nile mzigo na macho matatu yake
 
Jipatie dawa ya Asili kutoka China isiyo na madhara yoyote. Unaweza kwenda game hadi dakika 60 bila kutoa wazungu.
2954502_Screenshot_20211005-205912.jpg
 
Habari ya muda huu viongozi..

Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani.

Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za awali zinazopatikana kwa wamasai, zote zikiaminika kuwa zinatibu upungufu wa nguvu za kiume.

Hapa nahitaji zaidi tujikite katika hili swala la matumizi ya Vumbi la Congo au Congo dust au Putururu.

Naomba wale ambao wamewahi kutumia iwe kwa miaka ya nyuma ambao wana uzoefu kati ya miaka miwili mitatu mpaka kumi na kwa wale watumiaji wapya..

Mje mtuelekeze jinsi ambavyo hili vumbi au hii dawa inafanya kazi pia mtuambie kama kwa kipindi hiko chote hakujawahi kutokea hitilafu yoyote katika utendaji kazi au kama kuna madhara yeyote basi mtueleze pia ili wale ambao tunasita kutumia tuache kabisa tusijaribu..

Pia kama kuna njia nyingine yoyote ambayo ni nzuri umewahi kutumia na umeona ina manufaa basi usisite kushare nasi hapa ili tupate kuifahamu.

Lengo ni kupeana tahadhari na pia kupata go ahead kama kitu kina faida nyingi kuliko hasara tusisite kutumia..

Maana hali ni mbaya mtaani...
KAMA UKO MOSHI AU UNA JAMAA MOSHI NAWEZA KUKUPA DAWA FREE ALAFU UTAREJESHA MREJESHO.
inatibika ni inflamation ya mucus kwenye organ ya uzazi tu inatibika na kuwa sawa tu.
 
Sasa
Ukipaka vumbi jingi na ukakaa nalo muda mrefu inasababisha mboo kupigwa na ganzi sana na itafanya ishindwe kusimama

Paka kidogo afu usizidishe dkk 45 uwe tyr umejisafisha, mm hua nakaa nayo dkk 30 tuu
ukishatia ganzi huo utamu bado unasikia kweli au ndio ilimradi kuweka heshima tu?
 
Back
Top Bottom