Daaaah, wanaume tuko na msiba katika nafai zetu, pesa tutafute sie, kuoa tunaoa sie, kula tunapeleka sie majumbani mwetu. Wake zetu wanalalamika hatuwaridhishi hadi tumekuwa na wahka na wasiwasi wakati wa starehe chumbani.
Poleni sana wanaume wenzangu mnaosumbuliwa na hili tatizo. Binafsi sijawahi kusumbuliwa kwa kiwango kikubwa kiasi kuniletea wasiwasi, hutoke baadhi ya nyakati goli la mwanzo kikawa fupi kiasi ya kupata chini ya dakika kumi na tano, ila nikiendelea huwa nafurahia shughuli mnoo na mwenzangu.
Kitu muhimu waungwana ni kujichunguza ama kujitafiti tabia, hustoria na mwenendo wa miili yetu kibaiolojia, halafu tukijielewa tutapata solution ya shida hii ya kuwahi kufika mapema kabla ya mwenza wako hajafika.
Nashauri wenye tatizo hili wafanye mazoezi, hususan ya kukimbia yaani jogging, ile mdogo mdogo hadi jasho likutoke kwelikweli, kichura kidogo, ruka kamba, pushup kidogo angalau uchukue dakika 45 hafi 60 japo sio kila siku walau siku 2 au tatu kwa wiki. Mimi hupata siku mbili au tatu ndani ya siku saba, ila nikienda tizi najipinda hadi najionea huruma jasho linavyotoka kama mvuke mwilini.
Mazoezi hunisaidia kupata stamina ya ajabu wakati wa mambo yetu, najikuta naweza kudhibiti wazungu wasitoke bila ya taarifa vile ntakavyo, muda mwengine hupelekwa spidi na mwenzangu nikiwaona hao wanakaribia nawazuia na kubadilisha mbinu mara moja, basi tutapelekana hadi ashindwe yeye anadai nishuke maana huwa tena karaha kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na mm kwa sababu ya uungwana naweka issue zangu sawa [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].
Kwaiyo tusipuuze mazoezi wanaume wenzangu, na tule vyakula vilivyo vizuru kwa afya sio chipsi zege na juisi kila wakati hawa wanawake wanapata shida tukiwaacha na genye zao.
Baada ya mazoezi maji safi na salama kwa wingi ikiwezekana maji ya vuguvugu ni mazuri zaidi.