Bado sijaelewa hebu nyoosha vizuri nipate kujifunza, unaongea kwa mafumbo sanaMnaremba sana ..sijui romance sijui..ooh...darling..nini...ndio maana watoto wengi wa kike wanazaliwa siku hizi .dume linajiachia kisa limeitwa beb i!...
Sio jazba...mkuu...hii kitu ina matao..lazima zilale.. mtu gesi tupu...
tumbo linanguruma...
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
We jamaa inaonekana kichwa chako kigumu sana kuelewa mpaka unashindwa kugegedaBado sijaelewa hebu nyoosha vizuri nipate kujifunza, unaongea kwa mafumbo sana
Braza umepima sukari? Au figo? napenda kujia pia unajua kuogelea hasa diving?.....ukijibu ntakupa namna ya kutatua tatizo lako.Hebu nieleweshe bas😂
Una umri gani ndugu?Mimi mzunguuko mmoja sifikishi hata dakika 3 na nipo vizuri sina kitambi wala chochote, nimefuata taratibu zote mazoezi vyakula na mambo kibao yan tips karibia zote..
Ila dahh show mbovu kila kukicha karibu mke anadai talaka yan sielewi kwakwel
Labda kauziwa fekiDaaah ww jamaa bhana [emoji23][emoji23][emoji23] bora ufe tuu aisee mana hakuna namna tena
Au umepaka majivu ya kifuu cha nazi ukidhan vumbi la congo.?
itakuwa aliuziwa viungo vya pilauDaaah ww jamaa bhana [emoji23][emoji23][emoji23] bora ufe tuu aisee mana hakuna namna tena
Au umepaka majivu ya kifuu cha nazi ukidhan vumbi la congo.?
Wewe tatizo lako saikolojia sema mbishi sana endelea kupaka hayo mauchafuMrejesho :
Katika tafiti zangu nilizofanya nimegundua mambo kadhaa japo wengi wamejaribu kushauri kuhusu psychology,ila kwangu ishu ya psychology ni hapana...
Zamani nilikuwa Kama wewe tu sababu nilikuwa mdau wa puli[emoji1]Mkuu kumbe hali yako ni afadhali sana ukiliniganisha na yangu,
Mimi akiushikashika tu uume sekunde 15 - 20 mambo tayari, akianza kunyonya au kuingiza papuchi ni mwendo sekunde 5 - 10.
Tatizo lipo mkuu, kukojoa ndani ya sekunde 10-15 sio masihara kabisaZamani nilikuwa Kama wewe tu sababu nilikuwa mdau wa puli[emoji1]
Niliacha hizo Mambo Kama mwaka hivi
Nikaanza piga tizi jogging
Natumia sana tangawizi na chakula changu kikuu Ni ugali dagaa,samaki au nyama
Siku ambayo nilifuzu hii tasnia ya kugegeda Ni siku ambayo nikipata gemu toka kwa jidada fulani hivi limenizidi 5years
Nilikuwa Nina hofu nitaibika Ila nilisimamisa show vizuri Hadi nilijishangaa mwenyewe [emoji1787] since then nateleza tu
Jiamini kijana huna tatizo lolote wewe
Badili msosi mzee na acha porn halafu njoo uniambe hapaTatizo lipo mkuu, kukojoa ndani ya sekunde 10-15 sio masihara kabisa
KAMA UKO MOSHI AU UNA JAMAA MOSHI NAWEZA KUKUPA DAWA FREE ALAFU UTAREJESHA MREJESHO.Habari ya muda huu viongozi..
Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani.
Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za awali zinazopatikana kwa wamasai, zote zikiaminika kuwa zinatibu upungufu wa nguvu za kiume.
Hapa nahitaji zaidi tujikite katika hili swala la matumizi ya Vumbi la Congo au Congo dust au Putururu.
Naomba wale ambao wamewahi kutumia iwe kwa miaka ya nyuma ambao wana uzoefu kati ya miaka miwili mitatu mpaka kumi na kwa wale watumiaji wapya..
Mje mtuelekeze jinsi ambavyo hili vumbi au hii dawa inafanya kazi pia mtuambie kama kwa kipindi hiko chote hakujawahi kutokea hitilafu yoyote katika utendaji kazi au kama kuna madhara yeyote basi mtueleze pia ili wale ambao tunasita kutumia tuache kabisa tusijaribu..
Pia kama kuna njia nyingine yoyote ambayo ni nzuri umewahi kutumia na umeona ina manufaa basi usisite kushare nasi hapa ili tupate kuifahamu.
Lengo ni kupeana tahadhari na pia kupata go ahead kama kitu kina faida nyingi kuliko hasara tusisite kutumia..
Maana hali ni mbaya mtaani...
ukishatia ganzi huo utamu bado unasikia kweli au ndio ilimradi kuweka heshima tu?Ukipaka vumbi jingi na ukakaa nalo muda mrefu inasababisha mboo kupigwa na ganzi sana na itafanya ishindwe kusimama
Paka kidogo afu usizidishe dkk 45 uwe tyr umejisafisha, mm hua nakaa nayo dkk 30 tuu