Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Huwezi kutumia vumbi ukavaa condom. Ukipiga dry chama alafu umeweka vumbi kichwa cha uume kinakufa ganzi hivyo lazma kitachubuka. Tambua mchubuko hutokea kwa asilimia mia kwenye kichwa cha uume na pembezoni.

Hivyo ni hatari kwa afya. Mapenzi ni starehe ambayo ukitoa bao unapata raha hivyo ya nn kujitesa usitoe bao. Wanaume mda mwingine tunaonekana wajinga sana, ww unamgonga mtoto wa watu hadi anachubuka.
mkuu mimi hata nirudie raundi 5 yani dakika ni zilezile siendi zaidi ya dakika 3 😂 mashine kuanzia dk 40 hadi saa1 ishaamka yani naweza kupiga hata round 10 kama nashinda na kulala na mwanamke.

sasa kwa style hiyo kwanin nisitumie vumbi walau nimpe furaha mtoto wa watu. Japo sijawahi kutumia ila nahisi nikitumia hata dk 30 sifiki naweza kubwaga.

Bora nijaribu vumbi tuu...😂😂
 
Mimi mzunguuko mmoja sifikishi hata dakika 3 na nipo vizuri sina kitambi wala chochote, nimefuata taratibu zote mazoezi vyakula na mambo kibao yan tips karibia zote..

Ila dahh show mbovu kila kukicha karibu mke anadai talaka yan sielewi kwakwel
tumia putururu
 
Paka kidogo tu eneo la kichwa then funika/funga na mfuko wa plastic (Rambo)kwa muda wa masaa 2 au kadri utakavyo ona wewe.Angalizo hii kitu ipake ukiwa na uhakika wa papuchi [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya wenzio.
Hy kitu ukikaa nayo kwa muda mrefu ndivyo inavozidi kupiga ganzi mboo hvy itapelekea mboo kushindwa kusimama.

Pia sio lazima uwe na uhakika wa k ndo upake, mm nshapaka mara nying na game likahairishwa na hakuna baya lililonipata.

Kama utaamua kutumia vumbi bc usizidishe dkk 45
 
Ushauri wangu

Kama utaamua kutumia vumbi bc kaa ukijua kuwa umepaka kwa ajili ya huyo mwenzako na sio ww mana atakaye sikia raha n mwanamke.

Tumia vumbi kuweka heshima ndani ya nyumba, hayo ya kusema tufanye mazoezi, matunda, chakula n.k. ni kudanganyana japokuwa inasaidia kwa kiwango kidogo sana na itakuchukua muda mrefu.

Binafsi natumia vumbi tangu 2017 japokuwa sio kwa kila game na sijawah kupata madhara hayo ambayo wengi hapa wanayasema.

Sio lazima ufate nilichoandika ni maamuzi yako
 
Hii inapata papi mkuuu au nitumie SMS 0715 378899
Mpaka saizi nafaham suluisho la nguvu za kiume kwa njia tatu
Njia ya kwanza ni dawa za Suppliment
Njia ya Pili Msamitu
Njia ya tatu Matunda

Na vyote vinafanya kazi, utofauti ni bei,, na mda,

Njia ya kwanza inagarimu sio chini ya 50000tzs kama tatizo ni kubwa ika unapona kabisa,
Njia ya pili ni msamitu huu unafanya kazi ya kuweka sawa misuli ya kiume bei hake ni 60,unapona kabisa.

Njia ya Tatu ni matunda hii ni nzuri kuliko zote, kwa sababu kwanza ni bei nafuu, unaweza kuanda mwenyewe, unapata virutubisho vingi sanaa,, ndani ya siku 7 mfululizo unapona kabisa, kitakachobaki nitakushauri usiache kula mfumo huo wa matunda kila jioni kabla ya chakula..
 
Ushauri wangu

Kama utaamua kutumia vumbi bc kaa ukijua kuwa umepaka kwa ajili ya huyo mwenzako na sio ww mana atakaye sikia raha n mwanamke...
Dah mkuu bora hata wewe umeongea ukweli. Watu wa humu sijui wapo vipi aisee. Kwahyo mfano kwa mwezi waeza tumia mara ngapi au kwa wiki mara1
 
Back
Top Bottom