dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wakuu bila kipotwza Muda
Ni week imepita toka William ruto, rais was Kenya kufanya ziara Marekani na kelele kubwa ilisikika baada ya rais kutumbua Kia's kikubwa cha pesa za walipa Kodi
Basi huku kwetu nako Tanganyika rais wetu amekwenda ziara ya siku sita mjini Seul pmj Na wajumbe wake wako pia wasanii wa filamu ambao wameambatana naye
Sasa tunataka kujuwa Ni Kia's gani imetumika kwas ziara hyo. Maisha yamekuwa magumu bongo huku dollars imekuwa adimu Sasa HV inapatikana kimagendo gendo ,,ukitaka kupata dollars Basi lzm uwe na connection kubwa snaa
Kuna sagment huwa kwenye ibada zetu za kuwaombe viongozi wa nchi ,kwa Kweli niwe mkkweli siwaombeagi kbsa snaa nitaombee taifa tu Ila viongozi hpn kwakweli.
Pia soma: