Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Hehehehe...
Hamna ni Programming error tu..
Computer imekosea.. Bahati mbaya..
Cheza Tena na Tena...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
BIKO WEZI TU UNA BET KITU AMBACHO HUKIONI BORA MPILA MATOKEO YANAONEKANA
 
Nimeshiriki mchezo huu, na niliposhiriki wamekuwa wakinitumia msg zao za kunihamasisha nishiriki au msg za kutangaza washindi wao, Cha ajabu ni hizi msg mbili za kutangaza washindi hebu angalieni namba za simu za washindi! View attachment 533320
Wewe haustahili kumsema wala kumcheka kijana anayeungua na jua kwenda kubet kwa muhindi
 
Nimeshiriki mchezo huu, na niliposhiriki wamekuwa wakinitumia msg zao za kunihamasisha nishiriki au msg za kutangaza washindi wao, Cha ajabu ni hizi msg mbili za kutangaza washindi hebu angalieni namba za simu za washindi! View attachment 533320
Hawa wexi ina maana buku anaweza pata 20m au ni zaidi ya buku? Unatuma buku unaambiwa ongeza kucheza. Voda hawakubali kufuliliza kutuma buku baada ya buku! Nilijaribu kwa kushawishiwa na Mpoki hadi leo nimeliwa laki na 20 no Biko. Waipe tu hiyo namba kila Tamu na Dili Mimi tena Noooooo.
 
Hahaha!!! Ndiyo maana hata ukifikiria washindi wao wanaotangaza asilimia kubwa watu wa ajabu ajabu ambao hata wakitangazwa wameshinda 20M afu mwisho wa siku wakipewa 2M hakuna anayeweza kuhoji.. Ila yule meneja wao yule wacha nipige kimya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anzisha yako kama unaona ni itapeli!

Mbona mna wivu sana na Mengi ?
 
Nashangaa sana mtu anaecheza hiyo michezo.ni dalili ya mtu aliyekata tamaa
 
Wakuu naomba kuhoji hili kwa wajuao, karibu kila siku au few days za wiki hawa Biko wanatoa Tsh 20M na wanaitangaza kwa mbwembwe....

Napata muda wa kuangalia TV za Tz naona inatangazwa na ITV tu, je ina ukweli?

Kuna mshindi humu atudhihirishie kama buku aliyopanda ndo imemzalia 20M?

Au ndo yale yale ya kula pesa za walala hoi, then hiyo 20M ni kiini macho tu?

Wish to hear!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio kweli wanaonesha tangazo lao ITV tu hata TV E wanalionesha...
 
Mimi ni mshiriki wa hiyo wanayo iita bahati nasibu hakuna chochote, walitoa namba rafikiyangu Fulani kashinda, nikampigia ananiambia hata hakushiriki na hajui, kuna siku nilicheza nikakatwa pesa kwenye mpesa yangu lakini sms comfimation ya biko sijaipata, hua wanatuma namba zao za huduma kwa wateja, nikapiga wee mchana kutwa hawapatikani namba zote 3 jioni najaribu tena ndo wakapokea nawaambia nimekatwa pesa na kwenye mashindano sijashirikishwa, hakunisaidia lolote, wezi tu, tena wasaka tonge wakubwa
 
Back
Top Bottom