Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Mkuu tatizo siyo buku!buku ngapi wamewapiga kwa watanzania??nataka kukomesha tabia hii hawa wanafanya makusudi wakijua watanzania hatujui haki zetu na hili nitatizo kubwa kwakutojua haki zetu.
Umefikia wapi mkuu... uliwashtaki?
 
tumuulize tarimba abass kama kweli kuna follow up ya hii michezo.......bahati nasibu zipo ulaya na marekani na sio africa
 
heri BETTING ya mkeka maana una haja ya kumtafuta mchawi nani, maana ulicho kijaza kwenye mkeka ndio jibu lako.
 
Wadau hizi betting za Biko, Tatumzuka, Mojabet na nyinginezo zinazotangazwa kwenye TV mbona sijaona mtu mwenye uwezo mkubwa au muhindi/muarabu kashinda? Tunajua wahindi wako mbele sana kwenye suala la kamari. Je hii ni kweli au washindi wanapangwa?
 
JF-Expert Member
Wadau, hizi betting za Biko, Tatumzuka, mojabet na nyinginezo zinazotangazwa kwenye tv mbona sijaona mtu mwenye uwezo mkubwa au muhindi/muarabu kashinda? Tunajua wahindi wako mbele sana kwenye suala la kamari. Je hii ni kweli au washindi wanapangwa?
 
JF-Expert Member
Wadau, hizi betting za Biko, Tatumzuka, mojabet na nyinginezo zinazotangazwa kwenye tv mbona sijaona mtu mwenye uwezo mkubwa au muhindi/muarabu kashinda? Tunajua wahindi wako mbele sana kwenye suala la kamari. Je hii ni kweli au washindi wanapangwa?
Eti wanasema watu wengi wanaoshiriki sana ni wenye kipato cha chini,hivyo there is a great probability of winning
 
Nyie endeleeni kumchangishia ili huyo BIKO awe milionea
 
Lakini mjue naye BIKO anatafuta hela hivyo basi BIKO sio fala mjipange sana kumla
 
Mimi nilikata ticket tarehe 3/5/2017 kwa kutumia m-pesa nikaletewa notification msg kuwa pesa imetumwa BIKO kama inavyothibitisha hapa 4E39LOSZ6Z Imethibitishwa. Tsh1,000.00 imetumwa kwa BIKO kwenye akaunti namba 256 tarehe 3/5/17 saa 9:44 AM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh**

Nikiwa nataka kucheza bahati nasibu ya wiki inayofuata hivyo nimenyimwa haki ya kucheza niliwapigia vodacom wakasema walishatuma hiyo pesa nisubiri hadi 24/5/2017 watakuwa wamejua tatizo nikawauliza hamuoni kuwa hamtendi haki, wajitetea kuwa wao walishamaliza kazi yao na ni kweli.

Nikawapigia BIKO wakasema wanashughulikia na sasa kila nikipiga simu zao hizi 07436575669 na 0711869823 hawapokei simu yangu.

Sasa nataka niende Katika bodi ya Bahati nasibu kuwashitaki vinginevyo natafuta mwanasheria nikawashitaki mahakamani kwa kunikosesha haki ya kushiriki bahati nasibu.
😀😀😀
 
Vijana fanyeni kazi. Hakuna mafanikio ya mkato. Kutegemea bahati nasibu ni ugonjwa wakufikiri.
 
Back
Top Bottom