New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
Hapana ushaid wa kila saa upo ingia website yao wanaweka washind na kila namba ya muda huoWote ni wahuni tu mfano hao Biko hawana hata winning criteria kwamba umepatia hiki utashindi hiki eti ww weka hela tu ndiyo unaingia kwenye draw, hakuna tofauti na kuchukua hela yako ukaitumbukiza chooni then utegemee itazaa. Tatu mzuka nao hakuna mtu anayeverify kwenye kila draw ya saa kuwa namba ya bahati ilikuwa ni xyz, mfano ukisema namba za bahati labda ni 367 wakishachezesha draw yao ya saa wanakwambia namba za bahati zilikuwa labda 994 umeshindwa ujaribu tena baadaye kadhalika kwa mwingine aliyeweka kama hiyo yaani 994 wanaweza mwambia namba za bahati zilikuwa 063 yaani full usaniii maana hakuna mtu anayefanya check n balance, wanakusanya hela weee ndiyo wanakuja kuamua labda watoe mshindi mmoja wa 2m.
Kwaio namba hazitofautian kama ulivosema,hata mimi mwanzon nlihisi ivo