Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habali za muda huu wadau?
Ili mtu aweze kuwa mshindi wa mchezo wa bahati nasib wa BIKO anatakiwa acheze mara ngapi?
Naomba msaad wenu
Hivi we ni Frank matovu uliyesomea kashasha primary?ACHEZE MARA 90
Wambie wakurudushie buku kama imeshindakanA[emoji23][emoji23][emoji23] SIO KWA UCHUMI HUU MGUMU
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu
we bet kk kuliko kucheza mchezo wa bahat na nasibu.
Biko ni wasanii.. Ila bahati nasibu sii live.. Wanatuibia.. Nilishajaribu kumpigia mshindi muda ule ule namba ilipotokea na bamba ilikuwa inapatikana.. Hii inamaanisha sii waaminifu .... Wanatuaminisha ni live lakini siyo.Wapendwa ni vema tukajadili kuhusu hizi kampuni za kubet tajwa hapo juu ipi yenye kuleta haueni kwa mchezaji.Mimi biko sijawahi kucheza ila hawa akinatatumzuka hawana kushinda hawa kila ukicheza una ambiwa umefananisha namba mbili,hapo ndo ushindi wako.
Kwa wale walio walio wahi kucheza biko mtupe dondoo zenu ili tuji tathimini.
Aisee basi jamaa wasaniiWote ni wahuni tu mfano hao Biko hawana hata winning criteria kwamba umepatia hiki utashindi hiki eti ww weka hela tu ndiyo unaingia kwenye draw, hakuna tofauti na kuchukua hela yako ukaitumbukiza chooni then utegemee itazaa. Tatu mzuka nao hakuna mtu anayeverify kwenye kila draw ya saa kuwa namba ya bahati ilikuwa ni xyz, mfano ukisema namba za bahati labda ni 367 wakishachezesha draw yao ya saa wanakwambia namba za bahati zilikuwa labda 994 umeshindwa ujaribu tena baadaye kadhalika kwa mwingine aliyeweka kama hiyo yaani 994 wanaweza mwambia namba za bahati zilikuwa 063 yaani full usaniii maana hakuna mtu anayefanya check n balance, wanakusanya hela weee ndiyo wanakuja kuamua labda watoe mshindi mmoja wa 2m.
Wote matapeli tuWapendwa ni vema tukajadili kuhusu hizi kampuni za kubet tajwa hapo juu ipi yenye kuleta haueni kwa mchezaji.Mimi biko sijawahi kucheza ila hawa akinatatumzuka hawana kushinda hawa kila ukicheza una ambiwa umefananisha namba mbili,hapo ndo ushindi wako.
Kwa wale walio walio wahi kucheza biko mtupe dondoo zenu ili tuji tathimini.
sio kweli, wana website yao namba ziko pale za kila saa though I dont support them[emoji36] [emoji36] [emoji36]Wote ni wahuni tu mfano hao Biko hawana hata winning criteria kwamba umepatia hiki utashindi hiki eti ww weka hela tu ndiyo unaingia kwenye draw, hakuna tofauti na kuchukua hela yako ukaitumbukiza chooni then utegemee itazaa. Tatu mzuka nao hakuna mtu anayeverify kwenye kila draw ya saa kuwa namba ya bahati ilikuwa ni xyz, mfano ukisema namba za bahati labda ni 367 wakishachezesha draw yao ya saa wanakwambia namba za bahati zilikuwa labda 994 umeshindwa ujaribu tena baadaye kadhalika kwa mwingine aliyeweka kama hiyo yaani 994 wanaweza mwambia namba za bahati zilikuwa 063 yaani full usaniii maana hakuna mtu anayefanya check n balance, wanakusanya hela weee ndiyo wanakuja kuamua labda watoe mshindi mmoja wa 2m.