Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Nguvu ya 'buku'! Imekuweje ucheze laki 7? Au sielewi?
 
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu

we bet kk kuliko kucheza mchezo wa bahat na nasibu.
 
Hivi michezo hii wanacheza watu wa chini kiuchumi? Maana wengi ndo hushinda
 
Leo ndo nmeanza kujaribu Bahati yangu kwenye mkeka huu. Sasa kila nikiwawekea buku wananambia bado nafasi moja, bado tatu e.t.c ili uweze kushinda mil.1 ya papo kwa papo, una nafasi 2 kushinda jumadili, e.t.c.

Vp, kuna wakati ukicheza huwa wanaleta SMS kwamba "imetosha subiria Bahati?"

Msaada kwa wanaojua issue hii.
 
nawa laani hao wamekula jero yangu hata droo sikushiliki hata message tu hawakunitumia qumdauv oza
 
Wapendwa ni vema tukajadili kuhusu hizi kampuni za kubet tajwa hapo juu ipi yenye kuleta haueni kwa mchezaji.Mimi biko sijawahi kucheza ila hawa akinatatumzuka hawana kushinda hawa kila ukicheza una ambiwa umefananisha namba mbili,hapo ndo ushindi wako.
Kwa wale walio walio wahi kucheza biko mtupe dondoo zenu ili tuji tathimini.
 
Biko ni wasanii.. Ila bahati nasibu sii live.. Wanatuibia.. Nilishajaribu kumpigia mshindi muda ule ule namba ilipotokea na bamba ilikuwa inapatikana.. Hii inamaanisha sii waaminifu .... Wanatuaminisha ni live lakini siyo.

Kwa hilo tu inaondoa credibility yao.
Nawahamasisha na wengine wathibitishe hilo jumatano hii.
 
Wote ni wahuni tu mfano hao Biko hawana hata winning criteria kwamba umepatia hiki utashindi hiki eti ww weka hela tu ndiyo unaingia kwenye draw, hakuna tofauti na kuchukua hela yako ukaitumbukiza chooni then utegemee itazaa. Tatu mzuka nao hakuna mtu anayeverify kwenye kila draw ya saa kuwa namba ya bahati ilikuwa ni xyz, mfano ukisema namba za bahati labda ni 367 wakishachezesha draw yao ya saa wanakwambia namba za bahati zilikuwa labda 994 umeshindwa ujaribu tena baadaye kadhalika kwa mwingine aliyeweka kama hiyo yaani 994 wanaweza mwambia namba za bahati zilikuwa 063 yaani full usaniii maana hakuna mtu anayefanya check n balance, wanakusanya hela weee ndiyo wanakuja kuamua labda watoe mshindi mmoja wa 2m.
 
Aisee basi jamaa wasanii
dawa ni kutoshiriki tu
 
Afadhari ya biko uwezi poteza elfu kumi pasipo kushinda hata elfu tano Biko wapo vizuri ukiwa mdau woa ukicheza mfululizo mfano laki moja yani leo unaccheza buku kesho jelo at list Biko wana huruma wanaweza kirudishia elfu hamsini kama zawadi yako ila hao sijui nini mzuka hamna kitu wezi wezi tu
 
Wapendwa ni vema tukajadili kuhusu hizi kampuni za kubet tajwa hapo juu ipi yenye kuleta haueni kwa mchezaji.Mimi biko sijawahi kucheza ila hawa akinatatumzuka hawana kushinda hawa kila ukicheza una ambiwa umefananisha namba mbili,hapo ndo ushindi wako.
Kwa wale walio walio wahi kucheza biko mtupe dondoo zenu ili tuji tathimini.
Wote matapeli tu
 
mimi huwa siipendi ile theme song yao eti taaaaatu!! Mzukaaakaaa!!!
 
Wote ni wahuni tu mfano hao Biko hawana hata winning criteria kwamba umepatia hiki utashindi hiki eti ww weka hela tu ndiyo unaingia kwenye draw, hakuna tofauti na kuchukua hela yako ukaitumbukiza chooni then utegemee itazaa. Tatu mzuka nao hakuna mtu anayeverify kwenye kila draw ya saa kuwa namba ya bahati ilikuwa ni xyz, mfano ukisema namba za bahati labda ni 367 wakishachezesha draw yao ya saa wanakwambia namba za bahati zilikuwa labda 994 umeshindwa ujaribu tena baadaye kadhalika kwa mwingine aliyeweka kama hiyo yaani 994 wanaweza mwambia namba za bahati zilikuwa 063 yaani full usaniii maana hakuna mtu anayefanya check n balance, wanakusanya hela weee ndiyo wanakuja kuamua labda watoe mshindi mmoja wa 2m.
sio kweli, wana website yao namba ziko pale za kila saa though I dont support them[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Back
Top Bottom