Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa na nafasi nyingi ndio bahati yako ipo jiraniHabali za muda huu wadau?
Ili mtu aweze kuwa mshindi wa mchezo wa bahati nasib wa BIKO anatakiwa acheze mara ngapi?
Naomba msaad wenu
Nitumie namba yako nikurudishie buku yakoMimi nilikata ticket tarehe 3/5/2017 kwa kutumia m-pesa nikaletewa notification msg kuwa pesa imetumwa BIKO kama inavyothibitisha hapa 4E39LOSZ6Z Imethibitishwa. Tsh1,000.00 imetumwa kwa BIKO kwenye akaunti namba 256 tarehe 3/5/17 saa 9:44 AM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh**
Nikiwa nataka kucheza bahati nasibu ya wiki inayofuata hivyo nimenyimwa haki ya kucheza niliwapigia vodacom wakasema walishatuma hiyo pesa nisubiri hadi 24/5/2017 watakuwa wamejua tatizo nikawauliza hamuoni kuwa hamtendi haki, wajitetea kuwa wao walishamaliza kazi yao na ni kweli.
Nikawapigia BIKO wakasema wanashughulikia na sasa kila nikipiga simu zao hizi 07436575669 na 0711869823 hawapokei simu yangu.
Sasa nataka niende Katika bodi ya Bahati nasibu kuwashitaki vinginevyo natafuta mwanasheria nikawashitaki mahakamani kwa kunikosesha haki ya kushiriki bahati nasibu.
We apo una mia mbili, tena za zaman iyo buku itatokajeNitumie namba yako nikurudishie buku yako
UKWELI KUHUSU BIKO.....
naitwa geophrey ni mkazi wa arusha siku ya jana nime cheza BIKO jumla ya laki na 70 ,watu wengi tuna amini tuna weza kushinda ma milioni ya pesa 50m hadi 100m,Katika kucheza biko nime jifunza kitu sijui kama ni mawazo yangu.
Huu mchezo mwanzo una kuvutia mwanzoni ili uendelee kucheza kwa mfano kwa siku ya jana nilianza na elf 10 sikushinda nika cheza tena elf 10 nikashinda elf 20 nikacheza elf 20 tena nikashinda elf 50 lakin swali langu kubwa ili kushinda hzo m50 au m100 ina kuaje maana nme kuwa mtumwa nina ndoto za kushinda na nina nafasi 171 katika dro ya j5 na j2