Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

JE KUNA UKWELI WOWOTE KUHUSU BIKO? .....
naitwa geophrey ni mkazi wa arusha siku ya jana nime cheza BIKO jumla ya laki na 70 ,watu wengi tuna amini tuna weza kushinda ma milioni ya pesa 50m hadi 100m,Katika kucheza biko nime jifunza kitu sijui kama ni mawazo yangu.

Huu mchezo mwanzo una kuvutia mwanzoni ili uendelee kucheza kwa mfano kwa siku ya jana nilianza na elf 10 sikushinda nika cheza tena elf 10 nikashinda elf 20 nikacheza elf 20 tena nikashinda elf 50 lakin swali langu kubwa ili kushinda hzo m50 au m100 ina kuaje maana nme kuwa mtumwa nina ndoto za kushinda na nina nafasi 171 katika dro ya j5 na j2!!!!
Ulichezaje laki 70 wkt mwisho ndani ya maaa 24 ni 30,000/ tu_?
 
ni upuuzi kucheza BIKO ukitegemea milion 10+, wale wanapangwa ndomaana haiko live mtu kashinda 60M ni fundi cherehani na hayuko excited kabisa anaongea kama kashinda 500 ya vocha?
real winners ni wale wa laki au nusu laki.
hakuna mjasiriamali wa kukupa hela kilaini hivo wote target yao faida na strategy waliokuja nayo ni promote kwa nguvu sana hii kitu ijulikane wapige pesa,
na wamezipiga mpaka wameanzisha biashara nyingine ya betting BIKO SPORTS.
mpaka ikaishe watakua na pesa ya kuanzisha viwanda
Hilo kweli mkuu
 
DR SHIKA KASHINDA
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu bahati yangu
 
Inatakiwa Waziri husika afute hii michezo maana inawatia Wananchi umasikini, kama kigwangallah alikimbizana na kina Dr mwaka na kuwafuta kwenye ramani kwanini waziri husika anawaangalia hawa biko/ tatu mzuka na michezo inayofanana na hiyo? At least Kubet unaona kama umeshinda au lah! Hiyo mizuka imekuwa mizuka kweli maana haujui vigezo ni vipi na kupata mshindi sio live ni recorded tu,wizi mtupu.
Mkuu kuachia kodi ya 2.1 Bil. kwa mwezi kama alivyosema Slim5 hapo juu sio kitu rahisi,ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini kuwa kweli hawa jamaa ni wapiga dili..
 
Bora Tatu Mzuka kidogooo ukipatia namba 2 unarudishiwa mara 2 ya kiasi ulichoweka
 
Tiketi yako LOEAZG ya TatuMzuka droo, 1944 imelinganisha namba 3! Umeshinda Tzs.164180! kodi 18%.imeshatolewa Namba za ushindi ni 483.tatumzuka ni simpo tu!
 
Back
Top Bottom