Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Pole sana, kumbe ile 20M ni zuga eeh? Maana najiuliza wakitoa 20M walau mara 3 kwa wiki c wataishia kupata hasara? Japo cna base ya wateja wao but I think c wengi kiivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
biko biko nguvu ya buku..... jumatamu .... jumadili..... ach kuchana mikeka hamia biko .....
siku ya kwanza wananitumia JUMADILI na JUMATAMU nikazani wamekosea kumbe wapo serious na busness, kweli kwao ni bonge ya dili na utamu wanaupata
 
Ante mdau kwa takwimu ila mwanzoni wa lianza na 10M, Ila jamaa wezi
maoni yako watayafanyia kazi nawaza LOTTO waje na bongo wacheze super draw ya wiki kuanzia dollar 100,000-1,000,000 hapo wangevuna pesa ahaaa
 
Inafahamika kuwa Watanzania tunapenda maisha ya mkato...

Tunapenda maisha mazuri ambayo hatutaki kuyafanyia kazi....

Mtu na akili zake timamu anaamini kabisa kuwa elfu moja inaweza ikamuingizia mamilioni ya pesa...!!!

Utapeli na wizi huu hautakwisha mpaka pale watu watakapogundua kuwa..--

~ Hakuna hela inayopatikana kiurahisi.....

~ Mafanikio hayaji kama ndoto na kwa kubahatisha bali kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa malengo.....

~ Maisha hayana shortcuts bali mipango na nguvu zako za kupambana ndizo vitakavyokufikisha unapopataka....

~ Ujinga wako na ndio mtaji wa wengine....





Easy come easy go
 
Jumatamu

Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
 
U nailed it hard best!!!

Huu wizi utaendelea mpaka tunyooke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nasibu maana yake ni mmoja tu atashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…