Kwanini washitukiwe huku wanagawa hela mbele ya wakuu wa Mikoa ?Mimi pia siwafahamu , ila nahisi hawatochukua raundi sana, watashtukiwa totally
Huyo jamaa anatokea wapi mjomba ?Biko ni mali ya Mshiko Nje nje. Jamaa alishawahi kuwaga ofisa katika maeneo flani hivi
Kivipi?Mimi pia siwafahamu , ila nahisi hawatochukua raundi sana, watashtukiwa totally
Angalau huyu anajulikanaAbass tarimba ni mwakilishi tu wa hao jamaa ma oligarch wa eastern europe wanaosemeka wanatakatishaaaaaaaa.......
Abass tarimba ni mwakilishi tu wa hao jamaa ma oligarch wa eastern europe wanaosemekana wanatakatishaaa.......
Ni vema sisi wengine tusiojua lolote kuhusu hii BIKO inayomwaga mihela kwa wacheza kamari kadhaa tukiwafahamu watu hawa wema , walioamua kumwaga hela katikati ya UKATA mkubwa nchini mwetu ( Mungu awazidishie )
Jackpot Bingo mwenyewe alijulikana na sasa Spoti Pesa kiongozi wake nchini Tanzania anaitwa Abbass Tarimba , je hawa BIKO ni akina nani ?
Naomba kuwasilisha .
Organiser ni nani , au tuseme yule anayepokea hiyo mishiko kutoka kwa wacheza kamari ni nani ?NI MALI YA WOTE WANAOCHEZA HUO MCHEZO