Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Umesahau Kodi ya serikali + Middle men (Aggregators) + Makampuni ya simu (% yao) +Redio (% yao ya Promo) +Vendors wanaosupport Database...ila faida ipo.
 
Ni vema sisi wengine tusiojua lolote kuhusu hii BIKO inayomwaga mihela kwa wacheza kamari kadhaa tukiwafahamu watu hawa wema , walioamua kumwaga hela katikati ya UKATA mkubwa nchini mwetu ( Mungu awazidishie )

Jackpot Bingo mwenyewe alijulikana na sasa Spoti Pesa kiongozi wake nchini Tanzania anaitwa Abbass Tarimba , je hawa BIKO ni akina nani ?

Naomba kuwasilisha .
 
Mimi pia siwafahamu , ila nahisi hawatochukua raundi sana, watashtukiwa totally
 
Biko ni mali ya Mshiko Nje nje. Jamaa alishawahi kuwaga ofisa katika maeneo flani hivi
 
Abass tarimba ni mwakilishi tu wa hao jamaa ma oligarch wa eastern europe wanaosemekana wanatakatishaaa.......
 
Ni vema sisi wengine tusiojua lolote kuhusu hii BIKO inayomwaga mihela kwa wacheza kamari kadhaa tukiwafahamu watu hawa wema , walioamua kumwaga hela katikati ya UKATA mkubwa nchini mwetu ( Mungu awazidishie )

Jackpot Bingo mwenyewe alijulikana na sasa Spoti Pesa kiongozi wake nchini Tanzania anaitwa Abbass Tarimba , je hawa BIKO ni akina nani ?

Naomba kuwasilisha .

GOOGLE WEBSITE YAO...?
 
Matapeli hatari wa msimu huu;
1. Biko
2. 3 mzuka
3. Tusua mapene

Hawa ni matapeli hakuna mfano, unaweza ukacheza ukawa unasubiria jibu...jibu wasikuletee kabisa japo fedha yako wanakuwa wamekuchukulia. Wengine ukicheza tu...mda huo huo wanakujibu umekosa....cheza tena, ukicheza mda huo huo wanakujibu umekosa ila umesogea karibu na kushinda...cheza tena, ukicheza watakujibu umekosa....nani wa kukuzuia..una pointi nying hebu cheza tena...

Usicheze hii michezo kama pesa yako inakuuma....ni matapeli hatari hao mabwana!!!. Hata hizo zawadi nina wasiwasi nazo, wanaosemekana wameshinda itakuwa wanapewa kiasi kidogo sana tofauti na wanavyotangazwa. Usiwaamini kamwe!!
 
Back
Top Bottom