Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Pole sana, na hata kama ungelishiriki hiyo bahati nasibu ungelishiriki tu. Lakini usingeshinda, wanawashindi wao wamewaandaa siku nyingiii nyie mnaoingia mchezoni kichwa kichwa ni mwendo wa kupigwa tu hakuna cha nguvu ya buku, wala nguvu ya soda. Ni utapeli wa wazi wazi, eti utoe buku (1000) upate buku tano (5000) umewahi kuona wapi hiyo biashara?
 
Kwakuwa wamesajiliwa na bodi ya Bahati nasibu lazima wazingatie masharti ya mikataba kwa wateja wao.Nataka wajue hata sisi watanzania tuna haki ya kufahamu kile tunacho uziwa.
 
Jamani mchezo Wa BIKO ni wizi au ni halali, je watu wanapiga hela huko nataman kucheza ila nahisi ni matapeli, naomba mrejesho kwa waliojaribu mchezo huo..
 
Bora ubet mkuu. Hawa ni wezi, matokeo ya mpira yako fair kuliko Biko isiyoonekana.
 
Jamani mchezo Wa BIKO ni wizi au ni halali, je watu wanapiga hela huko nataman kucheza ila nahisi ni matapeli, naomba mrejesho kwa waliojaribu mchezo huo..
Ni bora ukacheze keno kuliko hiyo biko
 
Jamani mchezo Wa BIKO ni wizi au ni halali, je watu wanapiga hela huko nataman kucheza ila nahisi ni matapeli, naomba mrejesho kwa waliojaribu mchezo huo..

Kwani wanamlazimisha Mtu kubeti au ni Utahaira tu Mtu mwenyewe ndiyo humfanya / humshawishi kucheza hiyo Kamari?
 
Ni halali kwakua ni moja ya sehemu ya sera ya viwanda kwaiyo wewe peleka tu buku yako hakuna namna
 
Back
Top Bottom