Nafikiri anafanya vyema ili wengine wasidhulimiwe, wakiachwa wataliza wengi.Yaani wataka kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Vumilia tu, buku mbona hata sadaka tunatoa hizo hizo.
Kwakuwa wamesajiliwa na bodi ya Bahati nasibu lazima wazingatie masharti ya mikataba kwa wateja wao.Nataka wajue hata sisi watanzania tuna haki ya kufahamu kile tunacho uziwa.Pole sana, na hata kama ungelishiriki hiyo bahati nasibu ungelishiriki tu. Lakini usingeshinda, wanawashindi wao wamewaandaa siku nyingiii nyie mnaoingia mchezoni kichwa kichwa ni mwendo wa kupigwa tu hakuna cha nguvu ya buku, wala nguvu ya soda. Ni utapeli wa wazi wazi, eti utoe buku (1000) upate buku tano (5000) umewahi kuona wapi hiyo biashara?
Naomba unielekeze namna ya kucheza hako kabikonilikaa juzi nikasema nipoteze ka thate kangu nimenunu ticket Mara 30 bukubuku hakuna hata mia iliyoingizwa bola kubet kuliko hiyo kitu
Ni bora ukacheze keno kuliko hiyo bikoJamani mchezo Wa BIKO ni wizi au ni halali, je watu wanapiga hela huko nataman kucheza ila nahisi ni matapeli, naomba mrejesho kwa waliojaribu mchezo huo..
Jamani mchezo Wa BIKO ni wizi au ni halali, je watu wanapiga hela huko nataman kucheza ila nahisi ni matapeli, naomba mrejesho kwa waliojaribu mchezo huo..