Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Habarini wadau,

Kufuatana na uchunguzi tumegundua mambo kadhaa wa kadhaa yanayoweza kusababisha ushinde au usishinde Biko.

Kwa zawadi ya papo kwa papo hii haina shida kwani kila namba inaweza kushinda vizuri tu, hii inategemea possision/muda wa bahati ya hivyo zawadi.

Kwa upande wa zawadi wa 20M hapa saaa inategemea na namba yako ya siku. Mashine/computer inayochanganua namba inahesabu kwa series.

Mfano:
0623××××××××××
0625××××××
065×××××××
067×××××××
068×××××
071×××××
075××××
076×××××
077×××××
078××××××
Huu ndo mfano ya series ambayo mashine/computer inayochezesha bahati na sibu ya Biko ni vigumu mtu mwenye namba 062xxx hadi 068xx kushinda maana hizo ndo namba za mwanzo ambao lazima mashine ianze kuhesabia kama namba zako zinaanza na mlolongo huo sikushauri ucheze maana utashinda kwa bahati mbaya.

Kama namba zako 071xxx hadi 076xxx hapo ww cheza Biko maana nashine hua ndo inakomea kwenye namba hizo hata mshindi wa Jumapili iliyopita na Jumatano hii nanba zao zipo katikati 071××× hadi 076xx.

Kama mamba zako n 077 hadi 078 cheza ila utashinda kwa mbinde au labda mashine iwe mbovu.

Ombi, siku zite bahati nasibu yoyote huwa huwezi kupredict kwaiyo mashine zao inabidi zihesabu au zuchague randomly na sio kwa series.

Nimewakilisha wakuu nimetoa povu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza, kwanini namba zinazochezeshwa kwenye droo ni chache sana kuliko idadi ya waliocheza mpaka kupata faida baada ya kutoa mil 50.??
 
BIKO wa kushinda wapo kama jina lisemavyo ni bahati nasibu.

N.B: cheza bahati nasibu kwa pesa ambayo upo tayari kupoteza hapo utafanikiwa
 
Jamani mtandao huu hauna bahati au ni Wateja wake ndio hawana bahati? .Nakubali kusahihishwa kama aliwahi kuwepo,tafadhali.
 
Kama unafuatiliaga matokeo ya kila duroo na pia unajua hesabu za 'linear equations' utaipata hivyo namba.
 
Kwa awamu hii ya Magufuli yenye ukata,makampuni haya ya bahati nasibu yatapata sana wateja!
Watu wamechacha mifukoni kiasi kwamba hata hicho kidogo kilichobaki kitaishia kwenye makapu ya:BIKO,HAYATELE,M-BET,BETWAY et al,ili waweze kubahatisha mamilioni,but as usual,only 1% out 99% wins,the rest get kicked in the a**!
 
Siku nyingine utulie na kuhakiki unachokiandika

HAYATELE ndo niiini??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hayatele...
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Michezo ya kipuuzi kama hiii sichezi!bora hiyo ela nkale kuku na bia!
 
Wakuu.

Ili kuipunguzia serikali mzigo nadhani walimu wote wapewe smartphone na waruhusiwe kucheza ile biko au tatu mzuka ili kupunguza madai yao kidogo kodogo.
 
Back
Top Bottom