Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Asee kumbe cha arusha ndivo kinafanya kazi ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kwani BIKO au TATU MZUKA zinachezwa kwa Smartphone tu?? Nadhani haupo sahihi..hata Simu za kawaida (Feature phone) zinafaa kwa maana ni kitendo tu cha kufanya muamalaWakuu.
Ili kuipunguzia serikali mzigo nadhani walimu wote wapewe smartphone na waruhusiwe kucheza ile biko au tatu mzuka ili kupunguza madai yao kidogo kodogo.
Mkuu ujue tunaheshimiana!Duuuh mkuu umewaza kwa kutumia akili au Maji ya kunawa??
Kabisa😱Kweli akili ni nywele, kila mtu ana zake.
chukulia utani huoMkuu ujue tunaheshimiana!
Kwan nini walimu?.... acha marujuanaWakuu.
Ili kuipunguzia serikali mzigo nadhani walimu wote wapewe smartphone na waruhusiwe kucheza ile biko au tatu mzuka ili kupunguza madai yao kidogo kodogo.
mwenyewe nashindwa kuelewa hapoNaomba kuuliza, kwanini namba zinazochezeshwa kwenye droo ni chache sana kuliko idadi ya waliocheza mpaka kupata faida baada ya kutoa mil 50.??
Lengo sio kupata maisha mazuri kwa njia ya mkato but ni kutaka kujifunza ni namna gani wao wanaweza tengeneza kwa kutumia akiliWa Tz wavivu wanataka maisha ya juu jambo ambalo sio rahisi hivyo hakuna njia ya mkato kupata pesa