T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hata si kiongozi tu, Pius Rugangira (Uncle Tom) alikuwa mfanyabiashara na ndio alifadhili jaribio la mapinduzi ya Nyerere la mwaka 1982.Kwahiyo kiongozi wa kiraia anaweza kupanga mapinduzi ya kijeshi?
Unajua Code X wewe?Wote nii mashuhudaa wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Africa kwa nyalati za sasa.
Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi.
Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu wa nchi vikoamua kuasi, vikosi katika maeneo mengine ya nchi vina nafasi gani katika kuzima uasi?
Kwa maneno mengine, inawzekana vipi uasi ufanywe na kikosi au vikosi vichache then Jeshi lote mara moja liwe chini ya kiongozi mmoja wa haya mapinduzi?
Na zaid huwa inawezekana vipi wanajeshi wa vyeo vidogo tu kupindua serikali?
Kwa mfano, Samweli Doe aliongoza uasi akiwa na cheo kidogo to tu cha Sergeant.
Mwenye uelewa atusaidie.
Sana tuKwahiyo kiongozi wa kiraia anaweza kupanga mapinduzi ya kijeshi?
Intelligence ni veins na capillary.... unaweza kuudhibiti mfumo na intelligence ika comply.....Kuna mdau mmja kasema hapo kwamba Mwendazake alikoswa koswa.mara 2 kama Kina Nyerere nadhani hii huenda ndio imepelekwa marekebisho ya sheria ya idada ya usalama kuwa chini ya ofisi ya Rais yaani kuongeza role ya Rais hapo ndani.
Intelligence ikifeli hakuna stability ya Nchi.
Kama ilikuwa ni yeye kupigwq chini, kwanini Jeshi zima limekubali haya yatokee? Je, si labda kiongozi wa kiraia aliekuwepo alikuwa hakubaliki mpaka Jeshini?Mapinduzi ya Africa Huwa ni upuuzi kuliko faida Wala hawapindui Kwa maslahi ya Nchi Bali ya kwao.
Mfano hapo Niger huyu Kiongozi wa Mapinduzi alimegewa ubuyu kwamba Rais anapanga kumpiga Chini kumbe akamuwahi Sasa huu ni upuuzi wanaoshangilia Huwa ni manyumbu wasioelewa wanachoshangilia.
Kiufupi Wanasiasa wanaweza furahia hasa wa upinzani wakidhani kwamba wanaweza pata fursa ila ni ngumu.
Pia angalia Egypt baada ya Upinzani kushinda na Jeshi haliwataki wakaipundua hivyo hivyo na MiyMar
Mapinduzi ya Nigeria hasa ndio yana udini na ukabila. Wote wale kina Sani Abacha, Babangida, Yakubu Gowon, Buhari na wengine walifanya mapinduzi kwa fikra za kidini na kikabila ndio maana Nigeria ilipata mapinduzi mara nane.Kama unaonegelea mapinduzi ya Afrika magharibi, yanasabishwa na ubaguzi wa ukabila tu. Hakuna zaidi.
Na mapinduzi yote ya Afrika ukiyatazama utaona yamesababishwa na ubaguzi tu, hakuna zaidi.
"Divide and rule" inatumika na tunaotumika kupinduwana kuuwana na kuchukiana ni Waafrika wenyewe kwa ujinga wetu.
Na Tanzania mbegu za ubaguzi zimeshaanza kupandikizwa, kwa kasi sana.
Inategemea na structure ya Uongozi wao Hadi kumpata hiyo nafasi.Kama ilikuwa ni yeye kupigwq chini, kwanini Jeshi zima limekubali haya yatokee? Je, si labda kiongozi wa kiraia aliekuwepo alikuwa hakubaliki mpaka Jeshini?
Kwani mkuu usalama wa taifa ilikuwa wizara ya mambo ya ndani hapo kabla?Kuna mdau mmja kasema hapo kwamba Mwendazake alikoswa koswa.mara 2 kama Kina Nyerere nadhani hii huenda ndio imepelekwa marekebisho ya sheria ya idada ya usalama kuwa chini ya ofisi ya Rais yaani kuongeza role ya Rais hapo ndani.
Intelligence ikifeli hakuna stability ya Nchi.
Pamoja na mambo mengine ni aina ya watu unaowapa vitengo nyeti how Royal they are kwako na structure ya hiyo intelligence Yako bila kujalisha Iko chini ya nani..Kwani mkuu usalama wa taifa ilikuwa wizara ya mambo ya ndani hapo kabla?
Yote yaleyale, Cuba ile DI yao iko chini ya wizara ya mambo ya ndani na imefanya missions nyingi sana duniani na imezuia mapinduzi mengi na makini ya majaribio ya kumuua Fidel Castro.
Kuna Wakati mkiwa na Matatizo halafu akaja mtu akawaambia "shetani naweza kutatua tatizo lenu, hata kama Imani yenu iko juu mtakubali tuu"Wote nii mashuhudaa wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Africa kwa nyalati za sasa.
Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi.
Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu wa nchi vikoamua kuasi, vikosi katika maeneo mengine ya nchi vina nafasi gani katika kuzima uasi?
Kwa maneno mengine, inawzekana vipi uasi ufanywe na kikosi au vikosi vichache then Jeshi lote mara moja liwe chini ya kiongozi mmoja wa haya mapinduzi?
Na zaid huwa inawezekana vipi wanajeshi wa vyeo vidogo tu kupindua serikali?
Kwa mfano, Samweli Doe aliongoza uasi akiwa na cheo kidogo to tu cha Sergeant.
Mwenye uelewa atusaidie.
Wenzio wanawahi kushika kwenye mpini wewe wa kwenye makali utapinga saa ngapi? Kuna mtu anataka kufa kirahisi hivyo?nafikiri ni jinsi walivyounda majeshi yao.... Lakini kwa nini, wanajeshi wengine huwa hawajitokezi kupinga..Nafikiri , hapa kuna ukosefu wa mawasiliano, wanakuwa hawajui waliofanya haya ni akina na wana nguvu kiasi.
Mie huwa ninajiuliza,hivi wewe ulizaliwa kwa kipitia tundu gn?Kwa kifupi
Mapinduzi ya Kijeshi mara nyingi huwa na mazingira ambayo asilimia kubwa ya Jeshi huwa wapo tayari kuyaunga mkono.
Ikiwa sivyo lazma jaribio lifail.
Nchi nyingi tu majaribio hufail,au likifanikiwa na hakuna consensus ndo inakuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Mfano wakati wa Magufuli majaribio yamefeli Mara 2 japo haikujulikan sana
Mapinduzi ni uhaini na njia ya kienyeji ya kuchukua madaraka na Iko kinyume na Katiba ndio maana inapingwa all over the World.Kuna Wakati mkiwa na Matatizo halafu akaja mtu akawaambia "shetani naweza kutatua tatizo lenu, hata kama Imani yenu iko juu mtakubali tuu"
Kiongozi wa Nchi unafanya mambo ya hovyo, wanaokulinda unakuta wa uwezo na ufahamu mara10 zaidi yako lakini wanaamua kulinda viapo vyao
Unaharibu maisha Yao na wategemezi wao
Yaani Taifa linapokuwa kwenye mtanziko mkubwa wahanga wa kwanza ni wale wanaotegemea mshahara kwa sababu macho ya yamii yake yote yatageukia kwa mwenye Ahueni
Hivyo unakuta mlinzi anaanza kuishi kwa stress ya kulea Familia nyingi mtaani ambazo ugumu wa maisha unesababisha wewe Kwa kushindwa kusimama na kulinda maslahi ya Taifa Zima
Kibaya zaidi, unaanza kutumia walinzi Hao Hao kubadili katiba ili utawale milele
Kwa maana hiyo akitokea mtu akasema ana njia ya kuondoa obstacle hiyo ataungwa mkono tuu
Wakati wa kutangaza kumpindua na kueleza kwa kina kwanini mmefikia hatua hiyo na nini kinafuata utapata uungwaji mkono kila kona
Muhimu ni kufuatilia sio kuamini watu tu. Kufanya ufuatiliaji na kuwa very fast kufanya maamuzi, mapinduzi yanatokea ndani ya masaa machache zile movements za mwanzo zikijibiwa ipasavyo unazima jaribio.Pamoja na mambo mengine ni aina ya watu unaowapa vitengo nyeti how Royal they are kwako..
Sasa Kuna Rais Huwa anafanya kazi na watu ambao sio yeye kawaweka? Unless awe alikuwa na uhusiano mzuri Toka kitambo yaani mnafahamiana vizuri japo sio guarantee maana Kuna watu wamepinduliwa na rafiki zao.What if msuya diwani ..Anyway ina maana bi mkubwa hakuwa comfortable kufanya nae kazi akiwa bigboy wa special branch akaamua kumstep off the throne?