Watu wa Kitabu ni WakristoWatu wa kitab ni wakina nani?.
Kwa hiyo unabishana na maelezo ya mtume wako mudi?Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab wasipindukie mipaka katika DINI yao.
Kuna Dini zaidi ya muislam?.
Imani za kigeni zisitusumbue, tuwaachie waoQuran 5:47 fafanuzi ((sisi tuliwaamrisha
wafuasi wa issa watu wa injili wakristo..))
Issa ni muislamu inakuaje wafuasi wake ni wakristo?.
Quran 2;121 Allah anasema eti aliwapa watu wa kitab injil na zabur na torat.
Watu wa kitab ni wakina nani?.
Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab wasipindukie mipaka katika DINI yao.
Kuna Dini zaidi ya muislam?.
Tuelimishane ndugu zangu
Quran ni kitabu kinachoomba mtu anayekiamini akiwa haelewi mambo aombe msaada kwa walioshushiwa bitabu kabla yake ambao ni wafuasi wa maandiko matakatifu mwanzo hadi ufunuo.
Ubishi ndio unasababisha wateswe na majini. Wangetuelewa majini yote ni mashetwain wangefika mbali.
NdioHaya yanayowashughulisha akina 'Gwajiboi endi kampani' ULtd) yanawafikisha wapi na yapo ndani ya nyumba (Mnazoaamini) kuwa ni za Ibada?
Watu wa musa walipewa taurati,watu wa daudi walipewa zaburi ,watu wa issa walipewa injili. .lakini wakayaharibu hayo maandiko kwa kuongeza na kupunguza wasiyoyatakaMitume wao ni wakina nani maana mitume wote ni waislam
Kuongeza na kupunguza wao ndo wanasema katika vitabu vyao au ni mawazo ya Dini nyingine.Watu wa musa walipewa taurati,watu wa daudi walipewa zaburi ,watu wa issa walipewa injili. .lakini wakayaharibu hayo maandiko kwa kuongeza na kupunguza wasiyoyataka
baada ya kupewa vitabu wakaondoka.wafuasi wao wakavifanyia marekebisho. Taurati, zaburi, injili zote vyote vimechezewa.Kuongeza na kupunguza wao ndo wanasema katika vitabu vyao au ni mawazo ya Dini nyingine.