Quran 5:47 fafanuzi ((sisi tuliwaamrisha
wafuasi wa issa watu wa injili wakristo..))
Issa ni muislamu inakuaje wafuasi wake ni wakristo?.
Quran 2;121 Allah anasema eti aliwapa watu wa kitab injil na zabur na torat.
Watu wa kitab ni wakina nani?.
Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab wasipindukie mipaka katika DINI yao.
Kuna Dini zaidi ya muislam?.
Tuelimishane ndugu zangu