Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qur'an si kitaba cha mana, ukikifuata utapotoka tu na kuanza kufuga majini au kuwaombea wenzako laana na majanga, huku wewe mwenyewe ukiwa huna lolote la maana.Quran 5:47 fafanuzi ((sisi tuliwaamrisha
wafuasi wa issa watu wa injili wakristo..))
Issa ni muislamu inakuaje wafuasi wake ni wakristo?.
Quran 2;121 Allah anasema eti aliwapa watu wa kitab injil na zabur na torat.
Watu wa kitab ni wakina nani?.
Quran 4:171 Allah anawambia watu wa kitaab wasipindukie mipaka katika DINI yao.
Kuna Dini zaidi ya muislam?.
Tuelimishane ndugu zangu
Nimporte quoi.Ndio