Tuendelee kufatikia kesi ya mpigania haki kiki za akina nchimbi tuzipuuze.

Tuendelee kufatikia kesi ya mpigania haki kiki za akina nchimbi tuzipuuze.

Shujaa TAL, mwanasiasa jabali kwelikweli asiyeyumbishwa au kutetereshwa, mwanamageuzi na mpigania mabadiliko wa kweli
 
Tunasubiri kuingia kwenye pindi la sheria muda si mrefu natumain prof Lissu hayupo mbali tupo hapa na wanafunzi wenzetu akina katuga, job mrema na vilaza wengine kutoka kwa DPP
 
Wadau nawaomba tuendelee kufatilia defence evidence wa mh. Lissu hizi kiki za akina nchimbi na genge lake la wafiraji na watekaji huko ccm tuachane nao maana wote ni birds of the same feathers who flock together.
Kumfuatilia Nchimbi ni kupoteza muda ambao tulitakiwa tuingize pesa.
Kumfuatilia Tundu Lissu ni kupata elimu ya bure ya sheria, kutoka kwa MWANASHERIA msomi na NGULI asiye na mfanowe nchini Tanzania
 
kwa hili pindi nalopewa hakika najifunza kitu. j 5 nilikuwa naona kama mbali vile mara paaap! imefika.. wacha niwe live sasa mana tayali nimeon ishaletwa,
 
Back
Top Bottom