Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

Ndio wanazichota sasa kwa raha zao
Ingawa walikuwa wanaiba wote ila alikemea kututoa kwenye reli

Ila baada ya kifo chake ndio wakashangilia zaidi kwa kuiba yaani mpaka muweka hazina mwenyewe anaiba
Wanaleta tume za kijuchunguza
 
Hakuna atakayeishi milele lakini ukiona mtu anakufa kisha watu wanashangilia jiulize sana. Mkapa na nyerere hayakutokea haya kwann yeye?
Kwa hiyo ulivyoshangilia wewe, basi ukajua Watanzania wote tulishangilia?!
Hebu jaribu kuchukua muda wako uangalie mazishi ya hao viongozi wetu uliowataja halafu utagundua kwamba hiki ulichokisema ni uongo.
Hayati JPM alipendwa sana kuliko alivyochukiwa.
Kumbuka Binadamu huwezi kupendwa na watu wote. Hata wewe hapo siku ukifa, tupo tutakaoshangilia, nikiwemo mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…