WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Wewe kama kwenu Magufuri alifanya vizuri na ukanda wenu ndiyo una wasomi halali na hodari basi mshukuru Mungu kwa sababu sehemu nyingine alivuruga na kuvurunda vibaya.Na angetawala miaka aliyokuwa anatamani basi Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kimaendeleo ukanda huu.Inawezekana' aliharibu yako kwa kuwa haukuwa mkamilifu.Na Kama unasema aliharibu ya wengi kuliko wachache weka data na statistics validity to prove your argument.Unless otherwise acha uongo na kupotosha.