Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

Hakuna atakayeishi milele lakini ukiona mtu anakufa kisha watu wanashangilia jiulize sana. Mkapa na nyerere hayakutokea haya kwann yeye?
Ni watu wote Tz walishangilia?Au majiz,mafisadi wakubwa,majambazi,vyama vya siasa vya kujaza tumbo,waliofoji vyeti,na uchafu wa kila aina.
 
Alitengeneza kupendwa siyo kwamba ilitokea tu mfno kulikuwa na magazeti yale ya kina Musiba yote yalimpamba
Watu wa kusini walioporwa korosho zao watampendaje?
Watumishi wa umma waliokaa miaka 6 bila kuongezewa mishahara wala kupandishiwa vyeo walimpendaje?
Wananchi wa kimara waliobomolewa nyumba zao walimpendaje?
Note . Madicteta wote hutengeneza picha kubwa kwamba wanapendwa
 
Acheni kulumbana ndugu
 
Ni watu wote Tz walishangilia?Au majiz,mafisadi wakubwa,majambazi,vyama vya siasa vya kujaza tumbo,waliofoji vyeti,na uchafu wa kila aina.
Wewe siyo kila mtu ana vyeti vya kufoji!
Kwamba ati watu walichukia tu kwasababu walitumbuliwa hapana. Yule alipoteza na kuharibu maisha ya watu wengi sana. Sizungumzii wa chato nazungumzia watanzania
 
Acha waibe tu Mkuu..
Tutafanyaje sasa zaidi ya kuwashitaki kwa Mungu tu!
Hakuna jinsi, ni kweli yako ila za wizi hazina Baraka kabisa na mwisho wa siku wataziacha

Wao wanaona wanawatengenezea maisha watoto wao ila hawajui wanawafundisha wizi na mpaka wajukuu watajua babu alikuwa mwizi

Taifa la hovyo kabisa hata anaekemea anazibwa mdomo na hela ananyamaza
 
Wanaleta tume za kijuchunguza
Kichekesho cha mwaka
Wanajua mazuzu watashangilia
Eti tume
Hao wote waliapa na vitabu vya dini ila hawakujali vitabu watawaogopa tume
Tume yenyewe watahongwa tu

Kuna watu wanaona hela ndio kila kitu kuliko nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…