Tuendelee kumhusisha hayati Magufuli ripoti ya CAG

Hakika taifa sasa lipo mikono salama
 
Wewe siyo kila mtu ana vyeti vya kufoji!
Kwamba ati watu walichukia tu kwasababu walitumbuliwa hapana. Yule alipoteza na kuharibu maisha ya watu wengi sana. Sizungumzii wa chato nazungumzia watanzania
Inawezekana' aliharibu yako kwa kuwa haukuwa mkamilifu.Na Kama unasema aliharibu ya wengi kuliko wachache weka data na statistics validity to prove your argument.Unless otherwise acha uongo na kupotosha.
 
We hizo statistic za kwako ziko wapi? Mm nakupa sample ya watumishi wa umma tu. Ongea na japo 10 wulize kama hutapata jibu
 
We hizo statistic za kwako ziko wapi? Mm nakupa sample ya watumishi wa umma tu. Ongea na japo 10 wulize kama hutapata jibu
Watumishi wa umma na wasio watumishi wa umma wapi wengi?Nenda mtaani huko usikie jamaa anavyokumbukwa.Au fuatilia kwenye comments za You tube utasikia.Hao mafisadi wachache wanaomtukana JPM ndio nchi nzima.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…