MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani mno huu ushauri wako mzuri na wa thamani Uongozi wa Simba SC uuone na uufanyie Kazi kwani umesema Ukweli mtupu.Sisi tunamtaka kiukweli na berkane wanamtaka, ila sisi hatuwezi kuifikia ofa ya berkane, simba bado kiuchumi kupambania mchezaji na timu za uarabuni au south afrika.
Ushauri mzuri kabisa simba wawekeze kwenye scouting, hawa kina adebayo wawapate kabla hawajaonekana na timu kubwa, timu kubwa waje kuwaona hapa hapa kwa simba, itakoga pesa mingi saana.
Tumeuona.Natamani mno huu Ushauri wako mzuri na wa thamani Uongozi wa Simba SC uuone na uufanyie Kazi kwani umesema Ukweli mtupu.
Kumbuka, hao Berkane waliweza kutoa fedha za kutosha kumnunua Chama kutoka kwetu. Hii maana yake ni kwamba ni klabu yenye fedha nyingi kuliko sisi. Kwa hiyo, pia kwa Adebayor kwenda Berkane kutokana na fedha alizowekewa mezani, inaweza kuwa ni kitu cha kawaida. Ila angeenda Zanaco, labda tungejiona wazembe.Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
Mmesahau Level zenu ni Al Ahly na Pyramid?Sasa mkuu hata hizo hamasa zikiachwa, kuna uwezo wa kushindana nguvu ya usajili na Berkane?
Ni kweli lakini ktk hili silaha kubwa ni UVUMILIVU na SUBRA, je washabiki wa mpira wana hiyo subra?huyu Banda tu walishaanza kumtukana na kutukana uongozi pia.....Natamani mno huu Ushauri wako mzuri na wa thamani Uongozi wa Simba SC uuone na uufanyie Kazi kwani umesema Ukweli mtupu.
Kwa Banda unakwenda mbali Mkuu, kwa Sakho wakati wa dirisha dogo ilibaki kidogo maandamano yaanzie Kimara Suka hadi Tandamti.Ni kweli lakini ktk hili silaha kubwa ni UVUMILIVU na SUBRA, je washabiki wa mpira wana hiyo subra?huyu Banda tu walishaanza kumtukana na kutukana uongozi pia.....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
tatizo simba ukiwambia hamna uwezo wa kiuchumi kupambania wachezaji hawakuelewiSisi tunamtaka kiukweli na berkane wanamtaka, ila sisi hatuwezi kuifikia ofa ya berkane, simba bado kiuchumi kupambania mchezaji na timu za uarabuni au south afrika.
Ushauri mzuri kabisa simba wawekeze kwenye scouting, hawa kina adebayo wawapate kabla hawajaonekana na timu kubwa, timu kubwa waje kuwaona hapa hapa kwa simba, itakoga pesa mingi saana.
hahahaha.Mmesahau Level zenu ni al ahly na Pyramid?
Shida ya wabongo ni unazi kupitiliza, iwe simba au yanga, mwishowe ukweli tunaufumbia macho sababu ya mapenzi.tatizo simba ukiwambia hamna uwezo wa kiuchumi kupambania wachezaji hawakuelewi
Ni kweli kabisaShida ya wabongo ni unazi kupitiliza, iwe simba au yanga, mwishowe ukweli tunaufumbia macho sababu ya mapenzi.