Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

Ndio ujue sio mara zote pesa itakuwa na ushawishi kwa kila mtu
Wengine wana matatizo ya akili, Ajib kuondoka Yanga kwenda Simba huku akiona wazi hana namba ni upungufu wa akili.

Kama una sample nyingine niambie lakini siyo watu kama huyu Ajib kichwani hazimtoshi.
 
Natamani mno huu ushauri wako mzuri na wa thamani Uongozi wa Simba SC uuone na uufanyie Kazi kwani umesema Ukweli mtupu.
Scout wa Tz njaa tupu. Atakuletea mchezaji, sio kwavile ni fundi, Bali kwavile amehaidiwa 10% toka kwa mchezaji. Na hii inasababisha wachezaji wa kiwango Cha chini wanajazana bongo. Heri tuendelee kuwaona kwa mtindo huu huu
 
Jamaa anapenda kuja Simba Sc ni kama Moses Phiri tu, labda kama Simba SC watataka kufanya ujinga wa kutaka kumsajili kwa maslahi kama ya kina Duchu.
Yeye kama mchezaji, anaangalia wapi akienda atacheza. Ila Simba hamna hela ya kushindana na Berkane
 
Back
Top Bottom