Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

Yaani unataka watu waache kuhamasisha mechi ya muhimu wakomae na adebayor?
Mchezaji ambaye ana mapenzi na Simba Kabisa yule?

Mods huyu jamaa ni yule yule mliyepiga ban karudi na ID nyingine
 
Make sure you visit any psychiatrist around your area before it turns Worse. Take it very serious you Certified Nut okay?
 
Kumbuka, hao Berkane waliweza kutoa fedha za kutosha kumnunua Chama kutoka kwetu. Hii maana yake ni kwamba ni klabu yenye fedha nyingi kuliko sisi. Kwa hiyo, pia kwa Adebayor kwenda Berkane kutokana na fedha alizowekewa mezani, inaweza kuwa ni kitu cha kawaida. Ila angeenda Zanaco, labda tungejiona wazembe
Mkuu kwenye ile list aliyo tweet Mo kuhusu klabu tajiri Africa inamaana haina uhalisia?
 
Kwamba yupo tayari kupishana na pesa nyingi na kuja kichukua pesa ndogo Msimbazi kwavile ana mapenzi na Simba
Hukumuona alivyokuwa akishangilia ushindi wa simba siku ile?
 
Swali na jibu haviendani. Mkuu siku hizi umekuwaje mbona haukuwa hivyo zamani, ulikuwa hukimbii hoja bali hujibu kama swali lilivyoulizwa
 
Hivi unafikiri pesa kwenye soka ndio kila kitu?

Ni wachezaji wangapi wamekataa madeal makubwa yenye maslahi na kujiunga na club nyingine zenye pesa ndogo?
 
Afrika pesa ndio kila kitu, otherwise Luis konde boy asingeondoka Simba.
 
Ajibu alipogomea ile ofa nakubakia simba alikuwa yupo Europe?
Offer ipi? Usije ukaleta hadithi za akina Boban kushindwa mpira Sweden kurudi Simba halafu kuja kudanganya eti makati makubwa.
 
Si ile ya TP Mazembe mwaka juzi au umesahau ofsa?
 
Back
Top Bottom