Nilidhani tuliposema tunamhitaji Victorien Adebayor tayari tumeshaanza harakati za kumpata matokeo yake RS Berkane wapo katika 90% ya kumpata na kuwa Mali yao rasmi.
Scout wa Tz njaa tupu. Atakuletea mchezaji, sio kwavile ni fundi, Bali kwavile amehaidiwa 10% toka kwa mchezaji. Na hii inasababisha wachezaji wa kiwango Cha chini wanajazana bongo. Heri tuendelee kuwaona kwa mtindo huu huu