Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

njang'et

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2014
Posts
758
Reaction score
227
Habari wanajamvi hebu tusalimiane na kufahamiana kidogo tukiumalizia huu mwaka... mfano: habari! naitwa James.. anayefuata..habari James naitwa Husein.. anayefuata.. habari husein naitwa Fadhila.. tuendeleze hivyo hivyo kwa mtiririko huo huo.
 
Kwa kutia nyama uzi ingependeza zaidi tufahamiane kwa majina yetu halisi,miaka,sehemu tulipo ila ziwe za ukweli wana ndugu,marital status,Sex,Age na kadhalika.

Karibun wadau twende kazi.
 
Back
Top Bottom