Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Tufahamiane kabla ya kumaliza mwaka 2017

Humu watu wanamajina mabaya kichizi
======
Habari zenu wakuu, naitwa Raymond washkaji wanapenda kuniita Rayvanny Rapar pia waweza niita Ray😉😉
 
Humu watu wanamajina mabaya kichizi
======
Habari zenu wakuu, naitwa Raymond washkaji wanapenda kuniita Rayvanny Rapar pia waweza niita Ray😉😉
Hapo ni rapa unatunyanyasa hivi ingekuwa ndo yeye orijino ungefanya nini
 
Hello jamani
Mimi jina langu ni Muller Charles Mwakijungu
Umri wangu ni miaka 59 ikifika 2018 60 itapendeza
Nimeoa wanawake 9
Ninawatoto wa kiume 21 na wa kike 17
wajukuu wapo 48
Ninampango wa kuongeza wanawake 5 mwaka wa 2018
Hiyo ni profile yangu kwa ufupi.
Ninaishi Kibiti mkoa wa pwani.
 
Back
Top Bottom