Tufahamiane: mimi ni tajiri mkubwa mwanza mjini wewe je ?

Mimi afisa na mkusanyaji wa kodi mwanza mjini

Asante sana kwa kufahamiana ,unge ongezea nyama thread yako ingependeza vizuri mheshimiwa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] atalala mbele kama ni mkwepa kodi
 
Mkuu karibu ila staili iyo huku haibambi....nahisi umekosea kiki
 
Mimi ndo namiliki ziwa Victoria naishi kigoto hapa nawaangalia tu bishaneni mpaka asb
 
Mm ni maskini mkubwa wa mwanza vijijini.sijui twaweza kufanya connection
 
mm ni tajiri mkubwa kwani Nina miguu mikono na macho mawili wala sina upungufu wowote kwahio mm ni tajiri mkubwa hapa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…