sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Wewe ni ke or me tuanzie hapo kwanzaRejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ke or me tuanzie hapo kwanzaRejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Umeelewa nini mtoto mzuri?tangazo tumelielewa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] atalala mbele kama ni mkwepa kodiMimi afisa na mkusanyaji wa kodi mwanza mjini
Asante sana kwa kufahamiana ,unge ongezea nyama thread yako ingependeza vizuri mheshimiwa
Kama uko Mwanza changamkia fursa hiyotangazo tumelielewa
Naomba job yoyote ya kuniingizia kipato. Naweza kuja hapo mwanza muda wowoteRejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Una skills ganNaomba job yoyote ya kuniingizia kipato. Naweza kuja hapo mwanza muda wowote
mimi ni mmoja wa mabilionea hapa nchini, karibuRejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
nimeelewa kuwa yy n tajiri kubwa [emoji23]Umeelewa nini mtoto mzuri?
Mm ni Flight engineering wa JWTZ ,naishi Capri Point karibu na Thrive Project pale mkuu
Msalimie Capt Mapalala hapo CapripointMm ni Flight engineering wa JWTZ ,naishi Capri Point karibu na Thrive Project pale mkuu
Fursa...Mimi afisa na mkusanyaji wa kodi mwanza mjini
Asante sana kwa kufahamiana ,unge ongezea nyama thread yako ingependeza vizuri mheshimiwa